Kenge wa kijani hamnazo hao!!Hahahahaha!!! Jamaa umempa za uso huyo kenge wa kijani!
Haya ni maoni yako tuSitaelezea kwa undani lakini pamoja na nguvu ya dola CCM wenyewe wanajua hali si shwari.
Zaidi sana kuna mambo ambayo hawajui yanafuta nyaso zao za mambo makubwa ambayo wameyafanya kwa wananchi...
Kwa tume ipi?Sitaelezea kwa undani lakini pamoja na nguvu ya dola CCM wenyewe wanajua hali si shwari.
Zaidi sana kuna mambo ambayo hawajui yanafuta nyaso zao za mambo makubwa ambayo wameyafanya kwa wananchi...
Mkuu mpiga kura hana sauti, mwenye sauti ni mwenye kutangaza matokeo.
Wengi tunakwenda na namba 8 hapoSitaelezea kwa undani lakini pamoja na nguvu ya dola CCM wenyewe wanajua hali si shwari.
Zaidi sana kuna mambo ambayo hawajui yanafuta nyaso zao za mambo makubwa ambayo wameyafanya kwa wananchi...