Uchaguzi 2020 Haya ndiyo ambayo Tundu Lissu hukuyasema

Tangu lini Nchi ikaongozwa na Mawakala wa MABEBERU?
Liwake jua au lisiwake, Inyeshe mvua au isinyeshe, Kuche au kusiche Watanzania hawawezi kamwe kumpa Nchi KUWADI wa MABEBERU.
 
Kwahiyo jana alituita kunung'unika? Alafu silali na deni Bibi yako ndio anawashwa.
Wewe kweli unawashwa, tangu lini mtia nia akaongea kila kitu siku ya kutangaza nia? Yaani mlitaka Jana ataje mpaka mgombea mwenza?
 
Mavi uharo post!
 
lete porojo mzee mm nina suali moja tu kwako hao wanyonyaji aliwalete nani Tanzania ? au walikuja na vivaru? please jawabu halafu utaINDELEA NA POROJO ZAKO
 
Wale jamaa wa haki za mashoga ndo wanamtunza
Hakuna kingine hapo,
Huwezi ishi ulaya hivi hivi, labada atwambie kama nae anahudumia wazee huko?
 
lete porojo mzee mm nina suali moja tu kwako hao wanyonyaji aliwalete nani Tanzania ? au walikuja na vivaru? please jawabu halafu utaINDELEA NA POROJO ZAKO

Andika vizuri kwanza haraka ya nini?

Vivaru,
utaINDELEA,
suali,
aliwalete,
Hayo mamandishi ndo mdudu gani?
Wewe ni mhutu au?
 
Nyie mataga mnatia aibu nchi nzima kwa ushamba na ushenzi wenu.
 
lete porojo mzee mm nina suali moja tu kwako hao wanyonyaji aliwalete nani Tanzania ? au walikuja na vivaru? please jawabu halafu utaINDELEA NA POROJO ZAKO

Ngoja niendelee na porojo zangu tu
 
Maswali magumu kwa Tundu Lissu mwenyewe:

Mosi, atagombea urais kupitia Tume ya Uchaguzi ipi? Isije baadaye akasema tume iliyopo si huru. Tutaanza kuuliza tena alikubali vipi kuwa chini ya tume aliyoijua si huru?!

Pili, anadai katiba iliyopo haifai na ni ya kidikteta, sasa atagombea kupitia katiba ipi? Haingii akilini kuongozwa na kitu ambacho anajua hakifai!

Nilidhani alipaswa kwanza kuendelea kugombea au kudai katiba mpya kupata uwanja sawa wa kisiasa ndipo agombee urais.

Anajua sana katiba iliyopo inapiga marufuku kuhoji matokeo ya urais popote pale pindi yakitangazwa na tume iliyopo! Haya Lissu anayajua, labda anatangaza kwa lengo lingine maana anajua mazingira halisi ya kisheria kwa sasa.

Pia tusisahau anaweza asije kabisa na kutuambia hakuhakikishiwa usalama! Hata hivyo, anayo haki ya kutoa maoni na kutaka nafasi yoyote kwa mujibu wa sheria. Na pia nafurahi kusikia kapona na namshukuru Mungu kwa hilo.
 
Ngoja akajipange, aje arudi kupiga comeback
 
Acha kuandika upuuzi. Shwani
Pangua hoja hizo acha mihemko na matusii ndugu, kumbuka hoja hazipigwi rungu, mwenzako kakuwekea hoja zake tena kwa namba, zipinge kwa hoja sio matusi.. Hii ndio inaonyesha ufinyu wenu wa fikra kwa sababu hakuna akiyeshughulisha kichwa kupinga hoja kwa hoja bali ni mitusi tuu
 
Kwahiyo jana alituita kunung'unika? Alafu silali na deni Bibi yako ndio anawashwa.
ww ndio unanung'unika YEYE KATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS kimsingi sisi tumentaka atangane nia na amefanya hivyo mengine yote kampeni zinaanza soon
 
ww ndio unanung'unika YEYE KATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS kimsingi sisi tumentaka atangane nia na amefanya hivyo mengine yote kampeni zinaanza soon
Hapana sio mimi niliyesema KANUNG'UNIKA bali ukiisikila hotuba yake kuna sehemu amesema kuwa hayo ndio KANUNG'UNIKO YAKE

Kisha ndio akasema ataifanyia nini Tanzania. Muwe mnasikiliza basi kabla ya kuja kutushambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…