Haya ndiyo maajabu ya masomo ya Sayansi

Haya ndiyo maajabu ya masomo ya Sayansi

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Screenshot_20220711-081852.jpg


Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke

Wanasayansi🙏🤗🤝💪
 
Achana na sayansi yaaan mimi leo comb ya arts yoyote ile naizabatua maana akili niliyotumia kuifikiria physics nishindwe kusoma uchumi?

Unashangaa hapo kipind nasoma advance same boys high school

Kuna jamaa alisoma HKL sahv ni NURSE mwenye degree Marekan

Kule hawaangaliii combination wanaangalia uwezo wako kama huna uwezo simply utafeli tuuu na hapo ndio utajitathmin mwenyewe
 
Back
Top Bottom