Achana na sayansi yaaan mimi leo comb ya arts yoyote ile naizabatua maana akili niliyotumia kuifikiria physics nishindwe kusoma uchumi?
Unashangaa hapo kipind nasoma advance same boys high school
Kuna jamaa alisoma HKL sahv ni NURSE mwenye degree Marekan
Kule hawaangaliii combination wanaangalia uwezo wako kama huna uwezo simply utafeli tuuu na hapo ndio utajitathmin mwenyewe