Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

Mwenzako mondi anatenbelea ROY ROYCE, gari ya kifahari duniani alafu bado, unataka kumlinganisha na kibakuli
 
Mwenzako mondi anatenbelea ROY ROYCE, gari ya kifahari duniani alafu bado, unataka kumlinganisha na kibakuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aah! kachapwe tu maana unaonekana hakuna fimbo ngeni kwako.Nani kakwambia maandishi yanapunguza nguvu za kiume?.....Mwanamke wa Simiyu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


umenikosha sana mkuu

Eti maandishi yanapunguza nguvu za kiume


Ha ha ha ha ha ha daah burudani sana aisee
 
nawasubiri kwa hamu


Ngoja nilete jamvi waje kukaa niwaletee na togwa ya kunywa
Siyo Tongwa ni Togwa nashukuru kwa kuandika booooonge la uzi na ww ni team mond ili kujifurahisha nafsi safi sisi tupo tunasubir shit nyingine kutoka kwa king hatubishan na watoto kiba nyimbo 1 tuzo laki tena bila kolabo no presha come down bro na subir sindano.
 
Ukisikiliza ile "fu-ck fu-ck clip" aliyoitoa Chibu kuna sehemu anasema wengi wanaomchukia ni masikini yaani ni broke. Kwa hiyo in conclusion unaweza kusema team Kiba wengi ni masikini
Yaah team kiba ni Maskini..na ukiwa team domo tu hata kama ulikuwa Maskini unajikuta mahela yamejaa ghafla mfukoni...keep it up.
 
Mwenzako mondi anatenbelea ROY ROYCE, gari ya kifahari duniani alafu bado, unataka kumlinganisha na kibakuli
Hivi utajiri unaangalia gari unayotembelea eeeh?..acha unyumbu angalia gari aliyokuwa anatembelea mmiliki wa Facebook.
 
Kwa hiyo?wewe inakusaidia kitu gani?fanya mambo yako achana na vitu ambavyo havikuongezei kitu?kwani hizi team zinalipwa posho au mshahara kila mwisho wa mwezi?kama jibu ni ndiyo endelea na kama jibu lako ni hapana fuata mambo yako mkuu!stop wasting your precious time with "umbeya"
 
Ni utafiti ambao utashambuliwa kishabiki lakini una ukweli mwingi
 
Ngoja raia waje apa..kuna watu watatoka povu balaa
 
Umekosea k2 k1 tu. Hyo picha chini ungeitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…