Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
I am shua zisi izi paintshop job.
na mkuu wa mkoa yupo hapahapa kalala tu?
na hii ndo tabu ya kuchukua marafiki uje ulipe fadhira matokeo yake ndo wanaharibu kazi lawama inamuendea yeye sasa
I am shua zisi izi paintshop job.
....Well according to government philosophy, ni bora watembelee kwenye mashangingi kwa lengo la kukwepa mashimo kama hayo.... kwao, ni bora gharama za magari ya kianasa yenye gharama kubwa kuya run kuliko kutengeneza barabara za kupitia magari hayo...Kipi bora? Kutengeneza barabara hiyo au kununua magari mazuri ya kutufanya tujisikie vizuri?
Guess ningesema nini kama ningekuwa pacha wa Nyani ngabu.
ha ha ha
Nzoka, unajua nini mkuu..... viongozi wetu wanapotembelea nje ya nchi na kujionea yaliyoko huko nadhani wanafikiria vivyo hivyo, yaani "maendeleo yote waliyo nayo huko ni photoshop job" ya viongozi wa nchi hizo!!
Mtu akivunja mguu hapo ataambiwa ni uzembe wake...... hii nayo itakuwa 'photoshop job' ya Mwenyezi Mungu!!
Kadiri mashimozzzz hayo yanavyo achiwa kupanuka, ndivyo gharama zaidi zinaongezeka za ukarabati... hii nayo ni 'photoshop job' ya serikali yetu!!!!!!
Good thing Nyani Ngabu hayupo leo, na yule The Truth naye kafungiwa...
Baadae..