Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Msiwe na haraka jamani bali naamini kabla ya mvua barabara itatengenezwa vizuri tu kwani mmaru mwingi tumepewa na Kichaka, na Sullivan atatupatia mwezi wa sita, Na mtafurahia wakati Mzee Mikasi atakapofanya ufunguzi rasmi kabla ya mwisho wa mwaka
Ukiacha wizi wa mifuniko, mahandaki aka mashimo kwenye barabara za mijini huchangiwa sana na mvua hii inatokea hata kwenye nchi zilizoendelea, Tumewahi kujadili kwa kina hapa JF juu ya matatizo ya misingi ya maji taka na nina hakika yale tuliojadili yanaweza kutoa suluhisho katika picha hii...
Aidha MKJJ amefanya unazi mkubwa kwa kuweka picha hiyo na kuzungumzia maendeleo, ilhali mvua haina msalie hata kama una maendeleo ya aina gani...
Pengine kilichokosekana hapo ni alama za tahadhali kwa wenye magari na watembeao kwa miguu.
Msiwe na haraka jamani bali naamini kabla ya mvua barabara itatengenezwa vizuri tu kwani mmaru mwingi tumepewa na Kichaka, na Sullivan atatupatia mwezi wa sita, Na mtafurahia wakati Mzee Mikasi atakapofanya ufunguzi rasmi kabla ya mwisho wa mwaka
kweli kabisa Kite..
Serikali itajenga hizi barabara na kuziba haya mashimo muda si mrefu. Muda si mrefu wapingaji watakosa cha kupinga hapa.
bil 800!hheee, mheshimiwa natania, 800bn tanznian shilings zitajenga barabara kama kilometa 2600 za lami, kwa gharama za 300m kwa km, yaani zinatosha kujenga barabara toka dsm hadi mwanza, 133bn zilizoliwa EPA zinatosha km almost 500, that means from singida to moshi
sidhani kama unaelewa malengo ya fedha za Kichaka!
I am shua zisi izi paintshop job.
Wakuu, heshima mbele... M.M.M, hayo ndiyo mambo ya Jijini wakuu.... Kuna thread tuliongelea kuhusu mafuriko Jijini Dar inaitwa "Dar Mambo Tambarare" or something. Haya mahandaki wakuu sababu sio kama wengi ambavyo tungetegemea kuwa ni wizi wa mifuniko, la hasha, mahandaki yanatokana na colapse of underground storm water drains ambazo la kushangaza zaidi zimejengwa less than 3 years ago by our good ol' friends, Chinese Contractors!!.....
Naomba kuwalkilisha!!!
Nini nafasi ya consultant katika ujenzi, iwapo contractor anachemsha.. Inawekana kuwa kuna zaidi ya uzembe katika hili?
Sasa hili ndilo suluhisho la kuweka alama za tahadhari na kuacha shimo liwepo ili watu waweze kulikwepa. Great idea!
Duh! na wewe kwa kupindisha mada hujambo.. Katika ujenzi list inaanza na Client, Consultant,Contractor,Architect, n.kKwenye list... inaanza uzembe wa viongozi wa serikali ya ccm na kisha ndio mengine yanafuata.
Kamanda hii ni fani, Shimo kama lile hatua ya kwanza kabla ya kufanya chochote ni kuweka tahadhali.
Duh! na wewe kwa kupindisha mada hujambo.. Katika ujenzi list inaanza na Client, Consultant,Contractor,Architect, n.k
Kamanda hii ni fani, Shimo kama lile hatua ya kwanza kabla ya kufanya chochote ni kuweka tahadhali.
Hivi inachukua ujiniasi kufukia hilo shimo? Kama jibu ni hapana tatizo liko wapi sasa? Kama mambo madogo madogo kama haya yanatushinda unadhani mambo ya kwenda Mars au mwezini tutayaweza.......nyie endeleeni kubisha (denial) tu lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!!
kweli kabisa Kite..
Serikali itajenga hizi barabara na kuziba haya mashimo muda si mrefu. Muda si mrefu wapingaji watakosa cha kupinga hapa.
Forget about barabara and mashimo for a second....Still to this date, there are many primary school pupils and secondary school students who still sit on the floor. We can't even make simple chairs and desks for our kids to sit on while learning. You have many patients who sleep on hard floors in our hospitals, you have.....man let me just stop coz I'm getting pissed off......but I can go on and on in highlighting things that are within our capabilities but for some weird reason we seem not able to do them....
Duh! na wewe kwa kupindisha mada hujambo.. Katika ujenzi list inaanza na Client, Consultant,Contractor,Architect, n.k