Haya ndiyo maisha wanayoyataka masuperstar wa bongo

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
[h=2]ednesday, January 18, 2012[/h] [h=3]........SHILOLE YUKO KWENYE WAKATI MGUMU........[/h] 6:55 PM wajanjaclub

MSANII nyota wa filamu Zena Muhamed ‘Shilole’, yupo katika wakati mgumu kimaisha kwani anadaiwa zaidi ya sh, Milioni 6, kama kodi ya nyumba anayoishi huku akiwa na madeni kwa baadhi ya majirani zake ambapo amepewa muda wa mwezi mmoja awe amelipa pesa hizo.

Msanii huyu anaishi nyumba ya kupanga maeneo ya kinondoni, na inadaiwa kuwa hakulipa kodi kwa muda mrefu kwa kile kinachodaiwa kuwa alikuwa na matatizo ya kifamilia nyumbani kwao Arusha ndiyo maana hakuweza kulipa kodi hiyo.

Akizungumza Jijini Dar, ili kueleza ukweli wa habari hizo Shilole, alisema ni kweli anadaiwa lakini yupo katika mchakato wa kulipa pesa hizo kwani kwa muda mrefu alikuwa akituma pesa nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu ya ndugu zake.
Alisema kuwa tangu June mwaka jana hakulipa kiasi cha pesa alichokua akidaiwa hivyo mama mwenye nyumba amempa muda wa mwezi mmoja awe ametoa pesa hizo.

“Jamani ni kweli nadaiwa pesa hizo, lakini nilishindwa kulipa kwani ndugu zangu walikuwa wanaumwa hivyo pesa zote nilizitumia kwa ajili ya matibabu,” alisema.
Hata hivyo aliongeza kuwa baadhi ya majirani zake wanamdai zaidi ya shs laki 7, ambapo hajui atazitoa wapi kipindi hiki ambacho yupo kwenye matatizo kama hayo.
 
Tangu June mpaka leo deni limefika MIL 6, inamaana huyu analipa kodi karibu MIL 1 kwa mwezi? Inashangaza mtu ambaye hana kipato cha uhakika anapataje ujasiri wa kupanga nyumba ya gharama hivyo. Anyway, ni maisha yake, mwache akauze mbunye ili alipe hilo deni.
 
Anatangaza hiviii MWANAUME MWENYE ELFU 50 AENDE AKASAIDIE FASTA
 
Mhhhh haya tena mazito....kwani lazima jamani!
 
Kumbe ni mzuri ivi. kwavile mwisho wa mwezi umekaribia ngoja nimtafute nimsaidie na mimi anisaidie kidogo
 
Naombeni muweke contact zake tuweze kumsaidia mtoto mzuri hivyo hawezi dhalilika kwa kukosa mil 6 ambazo hata mbeba maboksi wa London hawezi zikosa.
 
Kumbe ndo huyu! si alisema mwaka mpya mambo mapya, kama huna mshiko wa maana usimsogelee! ama kweli debe tupu haliachi kutika. Ana shida ya hela, msanii uchwara, pdg wamesepa hawamlipii kodi. Anyway WaTz ni wakarimu, watamsaidia madhali kilio chake kimesikika. Pole Shilo le
 
kumbe shilole ndo huyu? si alisema mtaji wake makalio?
 
Kuna picha yake nyingine inayomuonyesha vizuri ilikuwa humu jamvini kipindi cha nyuma! Iwekeni ili mwenye chochote amsaidie! Inaonekana biashara yake ya k hailipi sana sasa hv!
 
Mtaji anao msaada wa nini? Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!!
 
Kupenda mambo makubwa wakati hawana uwezo, matokeo yake wanapata HIV.
 
aweke namba yake ya simu nimtumie tigo pesa 300,000/= apunguze hayo madeni ya mtaani; then nimuelekeze kwangu aje tuandae mchakato wa kulipa hiyo 6m. Mtoto ana booty huyu!
 
Mmmmmh jamani jamani haya kweli kuwa uyaone.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…