Haya ndiyo maisha ya Mchaga hapa duniani na Akhera toka mwanzo wa dunia

Huyu jamaa alikuwa visionary sana hauwezi amini huku nchi za watu niliulizwa hiki kitabu kimasihara kumbe kipo library. Ndio nakisoma hapa aisee. Kuna watu walikuwa wanaona mbali sana.
 
Nimejifunza mengi sana kutoka kwa watani wangu wachaga hongereni sana katika ilo,na leo ndio nimepata ukweli maana nilifungwa kamba na mwarusha mmoja kuwa nyie na wao mambo mengi ya kimila na kitamaduni mnaendana
 
Huyu jamaa alikuwa visionary sana hauwezi amini huku nchi za watu niliulizwa hiki kitabu kimasihara kumbe kipo library. Ndio nakisoma hapa aisee. Kuna watu walikuwa wanaona mbali sana.
Kwa kweli aliona mbali sana.
 
Hii imekaa poa sana , madogo itabidi tuwape majina ya kichagga wajue mila na tamaduni za nyumbani maana tunapokwenda na hizi english medium hata lugha yenyewe ya kichagga hawataiona ina maana bila kuwafosi
 
Hahaha
 
Naam
 
Ila na nyie mpunguze kujipa umuhimu karne ya 21 hii unataka ujivunie uchagga kwenye taifa lenye watanzania wenye asili za makabila 120 tofauti tofauti?

Ukianza kujinadi kwa kabila lako badala ya utaifa wako unaanza kutupa mashaka sana na dhamira yako kwenye jamii.

Mimi kiukweli nachukia sana idea au fikra za makundi za kukandamiza na kubagua wengine kwasababu hamfanani. Utanisamehe sana kwa hili sikuungi mkono sababu this is culturally immoral and irresponsible.

Pambania utanzania na utanganyika. Uchagga utakusaidia nini in the next 200 years baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…