Haya Ndiyo Makobazi

Makubazi... Soma kinyumenyume utakutana na neno la wahuni sura ya 3 mstari wa 7.

Ma
Ku
Ba
Zi

Zi
Ba
Ku
Ma
 
Che...
Kutukanana na "name calling" hakufai.
Inategemea unavyolipokea jambo.

Kwa mujibu wa Dini ya Kiislamu mimi Mkristo ni Kafiri.
Kwakuwa sio Mwislamu.

Mimi nikiitwa hivyo na Mwislamu naona kawaida tu.

Kuvaa kobazi siyo sifa mbaya kwakuwa sio dhambi na ni vazi zuri na linalovaliwa na jamii nyingi sana Duniani.

Ila kama mtu anaona siyo jina zuri basi ni kwa upande wake.
Wengine wanaona kawaida tu.
 
Che...
Hilo nilifahamishwa na Sheikh Haruna mwalimu wangu wa chuoni akituambia kuwa sisi tumefunzwa ndiyo tukawa hivi tulivyo.

Akitoa mifano mingi.

Mmojawapo ni huu akisema sisi tukiingia msalani tunahakikisha tunatoka wasafi kwa kila hali kwa shida kubwa na ndogo.

Kisha juu ya hayo tunachukua udhu.

Akasema tutakutana na watu walikotoka kwao hawakupitishwa katika haya.

Haya kwao ni mageni na hayapo kabisa.

Hawa ni lazima tuwaelewe.

Wengine hawajui baina ya tusi na neno jema.

Yote kwao ni sawa.
Usichukue kuwa katukana.

Kwao ni kawaida.

Wewe ndiye ulijualo neno baya yeye hajui.

Kawaida yako ni kinyume cha kawaida yake.

Hawa uishinao kwa wema na wafunze kile kilichochema ikiwa wenyewe watataka na kupenda.

La hawataki.

Kaeninao kwa ihsani yaani wema.

Msigombane na wao kwa kile ambacho wenzenu hawakujaaliwa.

Ila wewe ushukuru kwa kujaaliwa kile ambacho wengine hawakupewa.
 
Ha..ha..ha
Mzee wacha kunipaka mafuta ya Korosho.
Ila nakujua Mzee hutaki kabisa misuguano.
Wewe ni Mzee mwenye Hekima na Busara tele.

Vijana wa Karne hii hawawezi kugundua busara zako.

Ndio maana sisi tusha wazoea na kubaki kutulia tu.
Wakikejeri tunawachukulia kawaida tu.

Sawa Mzee nimekuelewa Vizuri sana.
 
Uislamu unapendwa sana hakuna anayechukia ila watu wachache wanatumia njia hiyo kuutambulisha vibaya

Uislamu unapendwa sana hakuna anayechukia ila watu wachache wanatumia njia hiyo kuutambulisha vibaya
Mnafiki mkubwa wewe,, we si kila siku unaanzisha uzi kuwakashifu waislam na uislam,, yani sijui hata wamekukosea nini waislam na uislam,, alafu leo unakuja na unafiki wako hapa,, ningekujibu maneno ya kuudhi kabisa ila kwa heshima ya shekhe Mohammed Said nakuweka kiporo, najua nitakuona kwenye nyuzi zako zile za kashfa dhidi ya uislam na waislam,,
 

Huyo apelekwe kwenye Barza La Maulamaa ashughulikiwe kwanza apate akili mgalatia mkubwa huyo
 
Nachopenda waislamu nadhani madrassa huwasaidia kua na ufahamu na dini yao maana nikiuliza maswali kuhusu uislamu najibiwa vyema, nikiyauliza haya yasiojua kujitawaza na yakikojoa huondoka na mkojo hua hayajibu vizuri
 
Che...
Nadhani umeona hekima katika hiyo ya Sheikh Haruna kuwa utamlaumu vipi mtu kwa kile asichokijua?

Hayo ya ubishi na watu nikayaepuka ni katika mafunzo niliyopitia nilipokuwa nasomeshwa mlango wa mnakasha yaani majadiliano.

Maalim akisema ingia katika mjadala kueneza elimu katika lile la kweli na haki na ujifunze pia katika elimu aliyonayo unaejadiliananae.

Akileta lugha mbaya mwepuke kwani hiyo ni dalili ya kuwa hapo hakuna kheri itakayopatikana.

Nimejaribu sana hapa kueneza elimu badala ya kuleta ugomvi.

Sina sababu ya kumpaka yeyote yule utuli.
 
Ninauhakika jibu lipo misikitini na makanisani, hebu tukaliangalie jibu siku ya Ijumaa mchana na Jumapili asubuhi, naamini tutajiridhisha.
 
Che...
Ninayo majibu lakini staha inanikataza kukujibu hivyo kwani nami nitakuwa natukana.

Ukitumia akili yako kidogo tu utafahamu.
Che..mwehu tu.
Chuk iliyo kifuan mwake kubwa kushinda anayoidhirisha. Lakin hatafuzu maaan wallipita wenye nguvu waliokuwa na chuki kushinda yeye ila leo wapo museums huko wamehifadhiwa...aende Cairo akaone
 
Che..mwehu tu.
Chuk iliyo kifuan mwake kubwa kushinda anayoidhirisha. Lakin hatafuzu maaan wallipita wenye nguvu waliokuwa na chuki kushinda yeye ila leo wapo museums huko wamehifadhiwa...aende Cairo akaone
Julai...
Umemkusudia Firauni.
Nimefika Egyptian Museum ambako mwili wa Firauni umehifadhiwa.

Hamu yangu kubwa ilikuwa kwenda kumuona Firauni.
Bahati mbaya tukakuta chumba ambacho yuki kimefungwa.

Nilipouliza sababu wenyeji wakanifahamisha kuwa wananchi wa Misri walikuwa wanamfanaisha Anwar Sadat na Firauni hivyo serikali ikaamu kukifunga hicho chumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…