Pre GE2025 Haya ndiyo makundi yanayomuunga mkono mgombea wa CCM

Pre GE2025 Haya ndiyo makundi yanayomuunga mkono mgombea wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
1. Vichaa wa kisiasa.
Tunaposema vichaa wa kisiasa, tunamaanisha wale watu waliofunga macho na masikio wasione wala kusikia, wakachagua kuacha midomo wazi kuzungumza kwa nguvu zote!, Watu hawa hawahitaji kujua wala kufungua macho kumtazama yule aliyewekwa pale kama ni mgombea sahihi, kwao hilo halina umuhimu kabisa! As long as ni 'CCM' wao watafungua midomo waongee mpaka kesho. Watu hawa hata wawekewe Giggy money kama mgombea wa CCM wapo tayari kuhamasisha maandamano ya vijana kumsafisha na kumuunga mkono! Mambo kama haya na ushabiki huu wa kisiasa hauwezi kukuta kwenye nchi za demokrasia kama Kenya, Marekani nk. Nyerere aliwahi kusema kundi hili ni hatari kwa taifa! Kwa kifupi watu hawa hujulikana kama "Chawa"

download (26).jpeg


2. Wenye manufaa binafsi ya moja kwa moja dhidi ya mgombea wa CCM.
Hili kundi linajumuisha wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri nk. Ambao kwa namna moja ama nyingine wameonja asali na wangependa kuendelea kulamba asali, hapa tunawazungumzia viongozi aina ya Jokate Mwegelo asiyetambua kwamba nafasi aliyepo ni kwa mujibu wa katiba na si kwa hisani ya mtu yeyote na yupo pale kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, si kwa ajili ya kumfurahisha mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom