Haya ndiyo mambo gani?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,962
Reaction score
721
Nimekutana na picha moja mahali, sikuweza kupata jibu la haraka kwamba kulikuwa kuna nini hadi hiki kitu kikatokea. Vijana wengi nchini USA especially wale wanaopenda miondiko ya RAP wanapenda kufanya hicho kitendo hata kama hawahitaji kujikuna.
Kitendo chenyewe ni hicho hapo katika picha inayomwonyesha kijana wetu aliyeko nchini sasa lakini mwenye makazi yake nchini USA. Angalia na toa maoni.


Sina hakika hapa alikuwa akighani muziki au la maana nimeona hata waimbaji wa Bongo Fleva nao wanaiga mambo kama haya ya kukamata kwenye nanihii bila hata kuhitaji kujikuna. Mmmh haya makubwa....
 
mbona unatukata stimu yakhe? picha hii wapi?
 
Picha hii hapa
 

Attachments

  • kibeberu3.jpg
    23.2 KB · Views: 460
Tatizo ameshika ikulu wkt wa mahojiano na clouds TV.

Mkuu hua unaniacha hoi na vijikoment vyako....iiisshhh!!!!

Meanwhile, mbona jamaa anayehoji kampa jamaa mgongo?..mmmhhh!
Inabidi next time wanasimamia vigoda tu!πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
wakuu mara nyingi tatizo hili hujitokeza pale mtu anapovaa chupi ndogo hivo kua inamuumiza ikulu.
 
mshikaji kavuta suluari kwa juu hili mraba aliovaa uonekane chata, amuoni mdogo wake ndiyo kamaliza maneno kabisa, kachomeka juu ya raba hiyo suluari hili tuone, tujulisheni kama nazo ndiyo style nasi tuige.
 


kijana wetu????? aliyeko nchini sasa lakini mwenye makazi yake nchini USAπŸ™„
 
Hii tabia ipo sana hapa town. Sio kwa celebrity tu, hata vijana wa mtaani hohehae nao pia wanatembea barabarani wakiwa wameshika "PESA" zao.

Mama alishaniuliza sana ni kwa nini watu wanafanya hivi, maana yeye huwa inamkera sana.

Anyway, things changes, new styles emerges every morning..... Ila binasfi inanikera na naona kama inatuaibisha wanaume kwa kiasi fulani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…