Haya ndiyo Mambo yaliyowapumbaza mashabiki wa Simba sc na kusahau kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
(1) Goli la Azizi Ki lililoleta utata dhidi ya Mamelodi Fc
Simba sc walifungwa goli mbili na Al ahly lakini kutokana na goli la azizi K kuzungumziwa Africa nzima, mashabiki wa Simba sc nao walisahau kabisa kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao Kama ilivyozoeleka kwa Kupiga makelele wakishinikiza Mangungu aondoke.

(2) Interview ya Fiston kalala Mayele, hii interview ipo kimikakati zaidi imewasahaulisha mashabiki wa Simba sc kuwa wametolewa kwenye kombe la Crdb FA, baada kutolewa kwa mikwaju ya penati na wazee wa mapigo na mwendo.

Mashabiki Wameshindwa kabisa kuhoji timu Yao juu mwenendo mbaya na matokeo mabovu mwisho wa siku wamejikuta Wakiingia kwenye mtego wa kuzomea zomea Mambo ya Yanga Sc ambayo inaongoza ligi na imefuzu Robo kwenye kombe La Crdb.

Mafanikio Ya Simba sc msimu huu ni kuishia robo kimataifa Kama ilivyofazoeleka, Kufungua wasap channel na kupata Ngao ya Jamii.

Maoni Yangu: Mashabiki shitukeni mnapaswa kuhoji achaneni na propaganda za kutengeneza ili kuwatoa kwenye Reli.
 
Sema kosakosa ya Aziz Ki dhidi ya Mamelod Sundowns, unavyosema goli unatuchanganya na tunajua Yanga hawakufunga goli lolote kwenye hiyo mechi
Hapo ndipo mnapozidi kuvurugwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja tuendelee kusema ni goli muendelee kujadili Hadi timu lenu lishuke daraja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na tumewaganda mpaka tumehakikisha na nyinyi mnaishia robo na simba mbovu inayoshuka daraja nyinyi huko Caf ni Mwakarobo wenzetu tu
"Mwakarobo Jr"
 
Simba wanachezeshwa Danganya Toto , kanyaboya
na wanapotezwa maboya ila hawaelewi.

Mangungu kawekwa na Selikali.

Try agian kawekwa simba na selikali.

Mayele kapiga hela ndefu sana kuwahadaa wana simba na wamehadaika vibaya.
 
(1) Goli la Azizi Ki lililoleta utata dhidi ya Mamelodi Fc
Simba sc walifungwa goli mbili na Al ahly lakini kutokana na goli la azizi K kuzungumziwa Africa nzima, mashabiki wa Simba sc nao walisahau kabisa kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao Kama ilivyozoeleka kwa Kupiga makelele wakishinikiza Mangungu aondoke.

(2) Interview ya Fiston kalala Mayele, hii interview ipo kimikakati zaidi imewasahaulisha mashabiki wa Simba sc kuwa wametolewa kwenye kombe la Crdb FA, baada kutolewa kwa mikwaju ya penati na wazee wa mapigo na mwendo.

Mashabiki Wameshindwa kabisa kuhoji timu Yao juu mwenendo mbaya na matokeo mabovu mwisho wa siku wamejikuta Wakiingia kwenye mtego wa kuzomea zomea Mambo ya Yanga Sc ambayo inaongoza ligi na imefuzu Robo kwenye kombe La Crdb.

Mafanikio Ya Simba sc msimu huu ni kuishia robo kimataifa Kama ilivyofazoeleka, Kufungua wasap channel na kupata Ngao ya Jamii.

Maoni Yangu: Mashabiki shitukeni mnapaswa kuhoji achaneni na propaganda za kutengeneza ili kuwatoa kwenye Reli.
Na wameshasahau kama tarehe 20 wana game, tena na timu ambayo imetoka kuwachapa goli tano wakiwa nyumbani kwao... Na sasa hivi wapo ugenini
 
Yaani kwa sasa tumesahau kila kitu hata jina la kocha wetu tu hatukumbuki ila tunachokumbuka tu Yanga wametolewa robo fainali na Mamelod licha ya kuandika barua ya kujiliza na manung'uniko Caf plus kushinda kwenye page za Caf kutukana bado wananchi wameishia robo fainali
 
Kikubwa mamelod kafuzu NUSU FAINAL
.
1712843366319.jpg
 
Mkuu umesahau kua msimu uliopita shirikisho tulienda Hadi final , nyie Hadi hiyo shirikisho mliishia robo kama kawaida yenu
Sasa kama huko ndio mnapaweza si mngeenda shirikisho mkafanye maajabu yenu
Yaani tunazungumzia Klabu bingwa unaleta story za shirikisho
 
Back
Top Bottom