Haya ndiyo maneno yanayotawala katika mazungumzo ya wapenzi wapya wapenzi

Haya ndiyo maneno yanayotawala katika mazungumzo ya wapenzi wapya wapenzi

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Mambo baby,beib?
Umekula my?
Unafanya nini?
Ongeza na wewe
 
wakizoeana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji15][emoji15][emoji57][emoji57][emoji850][emoji850][emoji850][emoji848][emoji848]
 
wakizoeana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji15][emoji15][emoji57][emoji57][emoji850][emoji850][emoji850][emoji848][emoji848]
Inakuwa mwendo wa kukerana tuu, hizo beib, baby utazisoma kwenye mitandao ya kijamii tuu
 
mbona hivo vi maneno vimekaa kikitoto hasa hiyo "my"
 
ngoja waje wapenz wapia

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom