GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inaweza ikatokea ila binafsi naona Simba na Azam bado wamefanya usajili mzuri tu. Vita ya ubingwa itakuwa ngumu haswaa na yoyote kati ya hao ambaye atazitandika vizuri timu shiriki atakuwa bingwa. Kimtazamo hizo timu Zina uwezo wa kufungana.Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
𝙽𝚒𝚖𝚎𝚜𝚝𝚞𝚜𝚑𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚠𝚊𝚣𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚖𝚔𝚞𝚞 𝚑𝚊𝚍𝚒 𝚗𝚒𝚖𝚎𝚛𝚞𝚍𝚒𝚊 𝚔𝚞𝚑𝚊𝚔𝚒𝚔𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚖𝚝𝚘𝚊 𝚖𝚊𝚠𝚊𝚣𝚘 𝚗𝚒 𝚙𝚘𝚙𝚘𝚖𝚊 𝚘𝚛𝚒𝚐𝚒𝚗𝚊𝚕 𝚖𝚞𝚝𝚞 𝚢𝚊 𝙼𝚊𝚛𝚊 𝚜𝚑𝚊𝚋𝚒𝚔𝚒 𝚔𝚒𝚗𝚍𝚊𝚔𝚒𝚗𝚍𝚊𝚔𝚒 𝚠𝚊 𝚖𝚔𝚒𝚊 𝚏𝚌Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Tatizo ambalo naliona bado lipo Hadi mwaka 2023 maana nilidhani lingeisha 2022 baada ya kujifunza Kwa matukio ya Manzoki na Bigirimana ni kitendo cha timu kusajili ili ipate VIBE la mashabiki badala ya kusajili Kwa mahitaji.Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Wewe ni member unayeongoza humu kwa unafiki, uongo na kigeugeu hauna msimamo. Juzi tu hapa umetoka kusifia Simba mna kikosi hatari sana, leo hii unaleta unafiki uonekane na wana Yanga kuwa una akili kumbe hauna lolote.Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Sijakipa like eti Kwa sababu umeisifia Yanga na kuipondea Simba,no,nimekupa like Kwa sababu umeongea ukweli kuhusu timu Yako ya Simba,Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Mnafiki kama paschal Mayala yupo radhi aandike mada yenye pande zote mbili negative na positive Ili ikitokea chochote aseme si mnaonaWewe ni member unayeongoza humu kwa unafiki, uongo na kigeugeu hauna msimamo. Juzi tu hapa umetoka kusifia Simba mna kikosi hatari sana, leo hii unaleta unafiki uonekane na wana Yanga kuwa una akili kumbe hauna lolote.
Uzi wako hata kujadili kiufundi na kimbinu kwa wachezaji waliosajiliwa kwa kila timu umeshindwa.
Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji
Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...www.jamiiforums.com
Labda ndio anatafuta likes, na engagement ,na kubalanceWewe ni member unayeongoza humu kwa unafiki, uongo na kigeugeu hauna msimamo. Juzi tu hapa umetoka kusifia Simba mna kikosi hatari sana, leo hii unaleta unafiki uonekane na wana Yanga kuwa una akili kumbe hauna lolote.
Uzi wako hata kujadili kiufundi na kimbinu kwa wachezaji waliosajiliwa kwa kila timu umeshindwa.
Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji
Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...www.jamiiforums.com
Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Azam hawajui wanataka nini?Mkuu nilimsikia mtu anasema Azam huwa wanasajili lakini hawana nia ya kuchukua ubingwa, wao KAZI yao ni kupush vilabu vya simba na yanga ILI waendelee kufanya biashara
Kwanini timu kama Azam yenye pesa nyingi ishindwe kuwa inachukua ubingwa unalizungumziaje wewe?
Yaani nauliza swali na wewe unauliza swaliAzam hawajui wanataka nini?
Huyu huwa anaanzisha nyuzi za events nyingi nyingi zilizo tofauti, halafu mojawapo ikitokea kuwa ya ukweli (ambapo ni obvious mojawapo itatokea), basi hurudi na kujisifu kwa kufanya rejea na hicho kilicho sahihi, huku akivificha vile alivyokosea. Usishangae Simba akija kuwa bingwa ataufufua uzi wa hicho alichosema, na Yanga akiwa bingwa atafufua wa hicho na kujidai talented. Yaani ni sawa na mtu anayebet matokeo matatu ya mechi kwa nyakati tofauti; kushinda, kushindwa na sare, halafu kikitokea kimojawapo anajisifu!Wewe ni member unayeongoza humu kwa unafiki, uongo na kigeugeu hauna msimamo. Juzi tu hapa umetoka kusifia Simba mna kikosi hatari sana, leo hii unaleta unafiki uonekane na wana Yanga kuwa una akili kumbe hauna lolote.
Uzi wako hata kujadili kiufundi na kimbinu kwa wachezaji waliosajiliwa kwa kila timu umeshindwa.
Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji
Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...www.jamiiforums.com
Sawa tunashukuru kwa mpangilio huu, kunywa Supu hapo kawe karibu na njia ya kuingilia kwenda kambi ya walinzi wetuYanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Mkuu mi Yanga Lia Lia ila nashukuru ligi mwaka huu itakuwa na ushindani sana. Bingwa atapatikana haswaaaa.Inaweza ikatokea ila binafsi naona Simba na Azam bado wamefanya usajili mzuri tu. Vita ya ubingwa itakuwa ngumu haswaa na yoyote kati ya hao ambaye atazitandika vizuri timu shiriki atakuwa bingwa. Kimtazamo hizo timu Zina uwezo wa kufungana.