Elections 2010 Haya ndiyo matokeo Halisi?: Kikwete: 44.56% Na Dr. Slaa 44.45%

Mkuu Mallaba, bado unajipanga kutuwekea au ndo unapima joto letu? Tujuze mkuu ndo hayo haswaaa tunangoja.
 
Jamani, haya mambo yameshaisha... TUANGALIE NAMNA YA KUJENGA TAIFA

TOO MUCH SASA
 
Jamani, haya mambo yameshaisha... TUANGALIE NAMNA YA KUJENGA TAIFA

TOO MUCH SASA

Ndugu Acid, haya hayataisha mpka miaka mitano ijayo, yametuumiza sana. Uniwie radhi ni vigumu sana kuyasahau
 
Mallaba umetuuza?? Toa matokeo tuyaone tupandishe munkari!!!
 
Unajua mie hizi data nilizinyaka hivi majuzi kuna jamaa hapa kazini kwetu alikuwa anasambaza na kutuambia zimenyofolewa kwenye ripoti ya waangalizi wa kimataifa. Nilipozichunguza vizuri nikaona kura zina decimal points nikazipotezea.

Inabidi tuwe makini na data tunazopewa hasa kama zina utata ulio wazi
 
Yangu macho! ila hizi ni mbwembwe tu hakuna wizi wowote wala nini reality is the truth. ninachokiona hapa nikuwa kuna katume ka uchaguzi humu kwenye jamvi linalo chakachua matokeo kwa intrest zao JK kashinda basi tena msituzingue na mipasho yenu humu sio JF MODERN TAARAB you @%&$*#*!!*:nono:
 

Umevuka mipaka ndugu. Hii ndio JF, kama inakuudhi sana unaweza kuondoka kimya kimya kama ulivyojiandikisha.
 

Nimesoma data ulizotuambatanishia hapa kwa makini. Tunajua kura zilichakachuliwa, lakini wewe au hicho chanzo chako kisituone wajinga na kutaka kutuchakachua zaidi. Chanzo changu cha mashaka kwenye kile unachokiita kura halisi ni kura zenye decimals, jumla ya kura zilizopigwa ilikuwa 13,289,721.25 na kwenye matokeo ili kutengeneza jumla ya 100% ukatuletea 13,289,721.29; hakuna kura iliyoharibika hata moja. Don't let us think you are worse than NEC.
 
Ole wenu atakayethubutu kumwonyesha mkwere hayo matokeo ni summary dismissal hata ukiwa waziri mkuu- kwa nini umemharibia mkuu siku??
 
You are an eye opener although at the end of all each makes his own intelligent decision. Keep on
 
sijaona za Dovutwa wala za Zenji kulikoni?
mkuu, hivyo ndivyo unavopaswa kukubali na kuamini usihoji!!:A S clock: JF KOMEDI... :biggrin:
Mkuu, heri yako wewe unaehoji kwa maana miwani yako i safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…