Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Even a matter start from atom
Kama ni hiyo logic, basi mleta mada hapaswi kuponda maana ndio starting point yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Even a matter start from atom
mkoa mzima una shule 77 tu, bado kuna mass failure
mtakumbuka kuwa mheshimiwa naibu waziri wa fedha mwaka jana aliisifia serikali kupita kiasi kuwa inachapa kazi kwa kile kilichoitwa kustandardize matokeo. Leo hii ona matokeo ya wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana (2013) katika shule ya kata atokayo yeye. Ikumbukwe kuna watoto wa kaka zake, wajomba zake jirani zake, ndugu jamaa na marafiki zake na wapiga kura wa kata yake ambao wana watoto pale. Ila inasemekana serikali naye anaisimamia serikali vizuri kwa kufaulisha kwa kiasi hiki. Hongera nchemba pole kwa wapiga kura
Wanafunzi wanasoma miaka minne (4) wewe unataka bajeti ya mwaka mmoja ibadilishe matokeo, kweli?
Aaaah,Chemba unaona aibu hiyo? Achana na kuifuatilia CDM fanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya wapiga kura wako,MUUWAJI MKUBWA WEWE na laana iwe juu yako daima.
Embu nenda kaangalie matokeo ya kidato cha nne kwenye majimbo ya Kiongozi mkuu WA kambi rasmi ya upinzani na mnadhimu mkuu WA kambi rasmi ya upinzani bungeni!
Mwanga na Same Zina Secondary Schools 85 hii ni sawa na dharau.
Kwani Nchemba ndo aliowafundisha au?, acheni majungu!
Wewe mgumu kuelewa!.. Soma tena posti upote akili!Kwani Nchemba ndo aliowafundisha au?, acheni majungu!
sasa si utafute kifungulio? Ama nenda kwenye internet cafe kama simu yako haiwezi kufungua ila kwa kifupi ni haya
s2646 kyengege secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 5 div-iv = 24 div-0 = 21