Rostam Azizi alisoma shule gani vile? Mweka hazina wa CCM hapo nyuma give us his academic credentials GT!!!!!!!!!
Nampa hongera aliyeuona pia ukabila kwenye chadema, ni kweli hata mie naona ukabila uko juu, naweza kuona labda ndo maana walikosana na marehemu chacha wangwe. I still don give a single trust to guys like mbowe to lead this country. We would rather clean CCM n go on than choosing unstable party like chadema.
Let's talk about d truth n not to defend them just bse we might b one of their members.
Mamanalia,Nampa hongera aliyeuona pia ukabila kwenye chadema, ni kweli hata mie naona ukabila uko juu, naweza kuona labda ndo maana walikosana na marehemu chacha wangwe. I still don give a single trust to guys like mbowe to lead this country. We would rather clean CCM n go on than choosing unstable party like chadema.
Let's talk about d truth n not to defend them just bse we might b one of their members.
nne - udini(ukatoliki)
tano - ukabila (chagga)
Hata Hard Copy Ya hiyo katiba ninayo. Hoja yangu ni kwamba kupeleka madaraka kwenye ngazi ya msingi wakati ngazi ya Mkoa haina madaraka ya hata kuzisimamia wilaya zilizoko kwenye mkoa ni Jambo jema?? Unajua kwa mujibu wa katiba hiyo makao makuu yanatakiwa kuwasiliana na wilaya bila ya kuujulisha mkoa?Kigarama
, na sasa kila jimbo Tanzania linawakilishwa Mkutano mkuu na Wilaya zote zinawakilishwa kwenye Baraza Kuu la chama.
Asha
kwangu usomi ni kitendo cha kujifunza maarifa ya wengine na kuthibitishwa na jamii ya wasomi wengine kwamba umefuzu kuyasoma hayo maarifa ya wengine.Though sikubaliani na wewe na point namba 2. Labda ufafanue usomi kwako una maana gani??
Haijengi chama chako..hata kidogo..wala haibadili kitu..Chadema ni wakabila na wanaelekea kuendekeza "ukatoliki"..sasa wao wachague waendelea kubisha au warekebishe..so it is up to them..Uboko haramu utakumaliza wewe.
nne - udini(ukatoliki)
tano - ukabila (chagga)
Haijengi chama chako..hata kidogo..wala haibadili kitu..Chadema ni wakabila na wanaelekea kuendekeza "ukatoliki"..sasa wao wachague waendelea kubisha au warekebishe..so it is up to them..
"Na kisha wanasomesha watoto wao kwenye shule za kikatoliki na kuhakikisha kuwa wanakwenda mpaka chuo kikuu. Sisi maboko haramu tunabaki nyuma tu kila siku ... haya yote ni makosa ya mkatoliki nyerere na ... na ... na ... wale kina nani wale ...
Wewe Ohsamdan, hivi ni kina nani wale waliwafukuza waarabu?
---Ohsamdan -- walikuwa wajerumani na waingereza (wakatoliki tu)..
Tumain -- ndio, wajeremani walifukuza waarabu.
Sasa ni zamu yetu kuwafukuza nyie wakatoliki ...
Ahhstafhgfurahiliamindahn....."
Huko mnakokwenda kuna baridi jamani rudini chumbani tujadiliane hatima yetu na ya watoto wetu, hizo dini sehemu ya tatizo letu linanalotutenganisha. La msingi katiba ya CHADEMA ina matatizo!!Tumaini anaendelea...
"Na kisha wanasomesha watoto wao kwenye shule za kikatoliki na kuhakikisha kuwa wanakwenda mpaka chuo kikuu. Sisi maboko haramu tunabaki nyuma tu kila siku ... haya yote ni makosa ya mkatoliki nyerere na ... na ... na ... wale kina nani wale ...
Wewe Ohsamdan, hivi ni kina nani wale waliwafukuza waarabu?
---Ohsamdan -- walikuwa wajerumani na waingereza (wakatoliki tu)..
Tumain -- ndio, wajeremani walifukuza waarabu.
Sasa ni zamu yetu kuwafukuza nyie wakatoliki ...
Ahhstafhgfurahiliamindahn....."
Huko mnakokwenda kuna baridi jamani rudini chumbani tujadiliane hatima yetu na ya watoto wetu, hizo dini sehemu ya tatizo letu linanalotutenganisha. La msingi katiba ya CHADEMA ina matatizo!!
I am just proving the point behind the scene...ukabila na udini ..unaendelea kujidhihirisha safi sana go ahead..lolTumaini anaendelea...kule nyuma ya jengo la madrasa
I am just proving the point behind the scene...ukabila na udini ..unaendelea kujidhihirisha safi sana go ahead..lol
Jamani tuliishia wapi?
Mimi nashauri sasa tuanze kuwaandama chadema kuwa ni chama cha wakatoliki, nyie mnaonaje?
Watoto wote wanashangilia .... ndioooooooooo
very Interesting....
kwa hiyo unaona sawa kwa mwenyekiti wao kutokuwa open na maendeleo yake ya kimasomo?
kama anaficha simple issues kama shule what makes you think atakuwa open akishakuwa rais wetu?
its time CHADEMA face the fact kuwa haya mambo ya kufika ugonjwa yatakifanya hiki chama ki ji self destruct
Mwafrika,
ww ni lord resistance army kawafuate kina John garang msilete fujo zenu hapa bongo balaa mkubwa
Acheni makelele basi
Tulieni mjipange vizuri la sivyo mtazidiwa na wakatoliki. Ni zamu ya nani leo kuitisha majini?
Mtoto mmoja anaruka na kutafuta shuka jeupe huku akiita mizimu ya John Garang .... john garang , garang, garang ... ohkohkhohkho, garang!!!