Haya ndo maneno ya msanii wa marekani

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Msanii wa Marekani YoungThug Anasema Kwamba Mungu Inabidi Aongeze Sheria Za Ziada Yani Kama Wewe Maskini Hutakiwi Kuwa Na Watoto Kabisa Kwasababu Utawaleta Duniani Kuja Kuteseka Tu

Je, Una Kipi Cha Kusema Kuhusu Wazo Lake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulizaliwa uchi huna hata nguo ukizikwa na sanda ni utajiri tosha sana

Baba wasemehe kwa sababu hawajui watendalo
 
Atatusamehe tu sisi tunatimiza agizo la Mungu la kuijaza dunia
 
Muulize yeye mwenyewe leo hii yeye ni tajiri,je,alizaliwa na wazazi matajiri?????..



Mungu hana mawazo ya kijinga kama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…