Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati.
Matendo ya kimaskini ni pamoja na ;
1. Kuomba punguzo kila bidhaa anayonunua.
Akiambbiwa suruali hii inauzwa sh. 25000 atasema ana sh. 20000. Suruali hiyo hiyo muuzaji angesema inauzwa sh. 20000 yeye (maskini) atasema ana sh. 15000.
Mpaka buchani maskini huomba punguzo au kuomba msaada apewe nyama nzuri.
Epuka kuomba punguzo la bei Kila mahali. Unauvuuta umaskini zaidi.
2. Maskini huamini katika wingi na si ubora .
Maskini anaweza kujenga nyumba ya chumba 5 kwa fedha ambazo alipaswa ajenge nyumba ya chumba mbili tu zenye kujitosheleza.
Maskini anaweza kuacha kununua bidhaa ya sh. 30000 ambayo angeweza kukutumia mwaka mmoja badala yake atanunua bidhaa ya sh. 15000 bila kuwaza kuwa ndani ya mwaka mmoja atatumia jumla ya sh. 60000 kununua bidhaa ile mara 4 (15000×4).
Maskini ananunua Earth rod ya sh. 15000 anaweka kwenye nyumba yake badala ya kuweka ya sh . 50000 bila kujali kuwa matumizi yake ya umeme nyumbani yatapaa bila sababu za za msingi. Ndio maana uswazi umeme unakwenda hovyo mpaka wapangaji hupigana . Maskini mwenye nyumba ndiye source.
3.Maskini hasamini nguvu zake au. Taaluma yake.
Yeye anachotaka mkoono uende tumboni. Yuko tayari kutumikishwa kwa malipo kiduchu eti tu kwasababu ana njaa au hana kazi.
Epuka hii tabia. Usikubali mtu atumie nguvu zako hovyo kisa njaa.. hutakufa.