x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
Amani iwe nanyi haya ni
mambo machache niliyo jifunza humu jf:
1.Ni vema kuanza na mtaji mdogo kama huna uzoefu na bishara unayotaka
kuianzisha.
2.Ili upate uzoefu unawezafanya kazi hata kwa kujitolea kwa mtu
anaefanya bishara kama unayo taka na wewe kufungua.
3. Uzoefu ni nguzo ya biashara yoyote kufanikiwa.
4.Angalia usalama wa mtaji kwanza kabla ujaangalia faida unapo taka
kuanza biashara yako.
5.Ni sawa na mwanajeshi kuingia uwanja wa vita kwa mtu anaye acha
kuajiriwa na kuingi kwenye ujasirilia mali kwa dhana ya
kuchoma meli moto i.e kufa au kupona.
6.tafuta wateja wengi,ukipata mteja muhudumie vizuri na bidhaa/yako iwe
bora,hayo mambo matatu ni muhimu sana katika biashara yako.
7.badili namna nyingine ya kupata wateja inapotokea wenzako wanavuta
wateja kwa njia ya kushusha bei ya bidhaa.
Mwenye akili na aelewe.