Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 331
- 252
Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama zanguu yaaaniUmeiba wapi??
Hili sio swali nililouliza, mwenye hayo mawe amekufa kama miaka kumi iliyopita.Umeiba wapi??
Ahaa shukran sana, sasa yapo tofauti tofauti na yapo kidogo tu. AsanteYanapatikana mahali kwenye dhahabu za kwenye udongo.
Yana thamani ila si kubwa sana.
Ukipata kg 1 angalau unapata shekeli
Kauze Tunduru. Hutakosa ya mbogaAhaa shukran sana, sasa yapo tofauti tofauti na yapo kidogo tu. Asante