Haya ni gemstones aina gani na je yanathamani?

Cordy bnei shirk

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
331
Reaction score
252
Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha


 
Ya kwanza ni kama Almasi , na hizo nyingine ni ruby zilizobaki hazina hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…