ulimi waupanga
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 493
- 1,223
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize demu wake Jiwe aliyemuamisha wizaraYamepatikana uko maeneo ya SongeaView attachment 1006711View attachment 1006712
Sent using Jamii Forums mobile app
Green tourmaline hebu weka ambayo hayajachongwa hata kidogo ili tutoe final identification tukupe na bei, yanapatikana eneo gani huko songea?
Piga picha vizuri weka kwenye meza hafu uwe na kamera muruaYamepatikana uko maeneo ya SongeaView attachment 1006711View attachment 1006712
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa majibu mazuri nitakutafuta, weka namba yako ya simu nitakutafuta, nitagharimia shughuli zote tutakatana kwenye mapatoNgugu nashukuru sana kwa majibu yenye akili japo kuna wengine wenye kebehi za Kitoto nimewasamehe bure!
Ukweli ni kwamba iyo haijachongwa imekutwa ivyo ivyo ilivyo ikiwa na umbo kama groli, ni Songea wilaya ya Namtumbo maeneo ya Likuyu Seka.
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka kutafuta lugha nzuri ya kumuambia asije kudondoka kwa pressure.Hahaha Mkuu unataka kumchangia
Hahahahaa
hizo goroli mkuu.... huyu mtu anahitahi counseling maana nahisi kashapigwa na wajanja [emoji23][emoji23] goroli za mia 500 kauziwa milioni 7 ukute kaambiwa ni green tourmaine sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu, nimewaza hivyo pia
Angalia umesema jambo kuna mtu anajinya mjuaji wakati ata quartz haijui, ww uko pori kamera ya MP 60 utaitolea wapi?Acheni utani nyie.
Kwamba wewe ukiishika gololi hauijui?
Nyepesi vile?
Plus jamaa hawezi kua kanunua. Atanunuaje kitu halafu ndiyo aje kuuliza ni nini?
Msimfanye jamaa mjinga wazee, pengine kamera yake tu ndiyo imemuangusha.
Mi sijajali picha nataka aweke ambazo hazina mwonekano huo. Au amepeta moja tu?, aweke mengine yenye mwonekano tofauti ajibiwe/kushauriwa.Angalia umesema jambo kuna mtu anajinya mjuaji wakati ata quartz haijui, ww uko pori kamera ya MP 60 utaitolea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
GREEN MARBLE, yanapatikana sana katikati ya jiji la Dar es Salaam.Yamepatikana uko maeneo ya SongeaView attachment 1006711View attachment 1006712
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kusema labda ni Emerald.Green tourmaline hebu weka ambayo hayajachongwa hata kidogo ili tutoe final identification tukupe na bei, yanapatikana eneo gani huko songea?
Hahaaaa!Nilishawahi kutembea umbali wa masaa 9, msitu kwa msitu nikiambiwa kuwa ninakokwenda imeokotwa Sapphire. Ndani ya hayo masaa 9 nadhani nilijenga maghorofa yote unayoweza kujenga hewani, nadhani nilinunua mpaka wilaya mojawapo hapa Tanzania. Kufika kule nilikutumia na goroli kama hilo. Sikuwa mtumiaji wa pombe za kienyeji but ilinibidi nizinywe tu ili kubomoa Yale maghorofa na kuurudisha mji wa watu .... Be careful
😅Nilishawahi kutembea umbali wa masaa 9, msitu kwa msitu nikiambiwa kuwa ninakokwenda imeokotwa Sapphire. Ndani ya hayo masaa 9 nadhani nilijenga maghorofa yote unayoweza kujenga hewani, nadhani nilinunua mpaka wilaya mojawapo hapa Tanzania. Kufika kule nilikutumia na goroli kama hilo. Sikuwa mtumiaji wa pombe za kienyeji but ilinibidi nizinywe tu ili kubomoa Yale maghorofa na kuurudisha mji wa watu .... Be careful