Haya ni madini gani na je yanaweza kuwa na thamani ya shilingi ngapi?

Nilishwah kuwa na Kama matano hivi.. nikaambiwa yanaitajika yenye Rangi moja tu bei yake si kubwa ni kama elf 15-60 inategemea na Ukubwa wake..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…