Haya ni madini gani ?

Haya ni madini gani ?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Kwa mjuzi wa madini aniambie haya ni madini gani na thamani yake ikoje mana kuna Wachina wanayachimba kwa wingi sna hapa nchini na kuyapeleka kwao. Yaweza kuwa fursa kwa wazawa pia kama tukijua thamani yake na masoko yake duniani.

1475829452232.jpg
1475829469730.jpg
1475829495082.jpg
 
Ina maana humu JF hakuna anaeyajua mawe haya?
 
au ndo mpk niende wizara ya nishati na madini
 
Hiyo ni amethyst lakini yaliyo ktk ubora wa chini sana...
Angalia Haya ya kwangu quality yake kidogo iko juu
 

Attachments

  • IMG-20160924-WA0008.jpg
    IMG-20160924-WA0008.jpg
    32.7 KB · Views: 300
Amethyst hyo mkuu...ni family moja na madini aina ya quartz na citrine...yameundwa hasa na silica..upatikanaji wake ni kwa wingi syo rare kama gemstone nyingine,density yake ni 2.65g/cm3,rangi ni purple
Hope hayo maelezo mafupi yatakuwa ni msaada
 
Amwthyst ikiwa clear,rangi Nzuri,Haina mipasuko,Haina moshi ndani grm moja ni zaidi ya tsh 2000,ina maana kilo ni zaidi ya mln mbili
Yangu nliyoipost ni caboshon Ila zina rangi Nzuri kilo moja ni 50000/ n'a zimetoka Rwanda
Daaa....upatikanaji wake upoje Kwa hapa kwetu
 
Daaa....upatikanaji wake upoje Kwa hapa kwetu
Yanapatikana sana TU,Ila kwA sasa wanunuzi wanapenda sana amethyst za kongo n'a Rwanda...Ila hapa tanzania tunayomengi TU....
Morogoro yapo sana tu
 
Back
Top Bottom