Bei yakeHiyo ni amethyst lakini yaliyo ktk ubora wa chini sana...
Angalia Haya ya kwangu quality yake kidogo iko juu
Amwthyst ikiwa clear,rangi Nzuri,Haina mipasuko,Haina moshi ndani grm moja ni zaidi ya tsh 2000,ina maana kilo ni zaidi ya mln mbiliBei yake
Daaa....upatikanaji wake upoje Kwa hapa kwetuAmwthyst ikiwa clear,rangi Nzuri,Haina mipasuko,Haina moshi ndani grm moja ni zaidi ya tsh 2000,ina maana kilo ni zaidi ya mln mbili
Yangu nliyoipost ni caboshon Ila zina rangi Nzuri kilo moja ni 50000/ n'a zimetoka Rwanda
Yanapatikana sana TU,Ila kwA sasa wanunuzi wanapenda sana amethyst za kongo n'a Rwanda...Ila hapa tanzania tunayomengi TU....Daaa....upatikanaji wake upoje Kwa hapa kwetu
Mgodini unanunua shln ngapYanapatikana sana TU,Ila kwA sasa wanunuzi wanapenda sana amethyst za kongo n'a Rwanda...Ila hapa tanzania tunayomengi TU....
Morogoro yapo sana tu
Inategemea na wanakijiji watakuuzia sh ngapi!mara nyingi maeneo watu wakanunua Kama mashamba....Mgodini unanunua shln ngap
Soko lake lipo wapInategemea na wanakijiji watakuuzia sh ngapi!mara nyingi maeneo watu wakanunua Kama mashamba....
Yakiwa mazuri yanauzika Wakati wowote,Labda TU itoke order zake kutokiwepo kwA Wakati fulani,ambacho hicho kitu kwA biashara ya mawe ni kitu cha kawaida.....Soko lake lipo wap
shukran sanaYakiwa mazuri yanauzika Wakati wowote,Labda TU itoke order zake kutokiwepo kwA Wakati fulani,ambacho hicho kitu kwA biashara ya mawe ni kitu cha kawaida.....
Pamoja sanashukran sana