Haya ni madini gani?

Ni Quartz nyeupe ya Mapande...!
Zipo Quartz za kuchongoka zipo pia za Mapande...!

Zinauzika kwa Makilo, ila usipeleke Sokoni kilo 1 ama 2, uwe na Mzigo wa kutosha!

Thamani yake sio kubwa ila zinauzika zikiwa Clear kama hivyo.

NB.
Usiniulize zinauzwaje ..!
 
Kwa nini asikuulize?
 
Ahsante mkuu
 
Wasikuvunje moyo, mawe hayapimwi kwa kuangalia kwenye picha, inategemeana na weight na namna inavyoreact kwenye mwanga ili kujua ni aina gan ya jiwe.

Ata wanaodai ni kwatz bado hawana ushahidi wa moja kwa moja, tafuta eneo la karibu lenye wataalum ukajiridhishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…