Haya ni mafuriko au ni swimming pool sebuleni?

Haya ni mafuriko au ni swimming pool sebuleni?

hakunaga kitu kama hiki.....jamais
 
Inakuwaje huyu mdogo wa kulia miguu iko juu, wakati wenzie wote imezama sm 20 chini?.....Network searching}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}}
 
Angalia vizuri, hiyo sio photoshop mkuu...

wewe unaweza kukaa na kurelax kwenye sehemu kama hiyo...kwanza nina wasiwasi hata umeme hautakuwepo kutokana na hayo mafuriko...well labda ni photostore
 
Hiyo ni aina mpya ya sakafu hutumika kule india na nchi jirani.
huku kwetu bado haijawa maarufu sana lakini nyumbani kwangu ipo kama hiyo.
 
Hiyo ni aina mpya ya sakafu hutumika kule india na nchi jirani.
huku kwetu bado haijawa maarufu sana lakini nyumbani kwangu ipo kama hiyo.
Kwahiyo hayo siyo maji?
 
Mh? na still vyombo vya umeme vinarun? Mh tena!!
 
Nimeshawahi kuirusha hii sehem ila nikweli hayo ni mafuriko naona socket zipo juu japo si unamuona mzee anavyotafakari nn cha kufanya kwa pembeni kule!!
 
Back
Top Bottom