chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Siku ya jumatatu tarehe 30-8-2021.
Nilikuwa nasikia machimboni tu, kuna rafiki yangu naye mtu machimbo mwenye mgodi wake!
Nikataka kujua maisha ya machimboni yakoje, basi jumatatu tukatoka kama tarehee niliyotaja kwenda kule.
Maisha yaliyopo machimboni yani sijui ni pesa au watu kudata na kutafuta madini!
Watu wamachimboni hawana tofauti na wanyama kiufupi, sijui kwa sababu wapo maporini au mbali na jamii zenye makazi.
Kuna watu ambao wengine wameshajichoka, kuna watu ambao wana hasira za maisha kwa njia yoyote, kuna watu wapo kwa wakipata basi kutumia zote.
Makundi makubwa ya wanao jiuza ni makubwa na ni ngono zembe kwa asilimia 90.
Matumizi ya pombe, sigara, bangi na vingine ni makubwa ukilinganisha na sehemu ya makazi ya watu.
Kikubwa nilichofanikiwa kujifunza machimboni watu wanaroho mbaya na wakatili sana.
Ndio maana visa vya watu wamachimbo kusikia kafa au kauliwa usishangae