heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
by
MillardAyo in News
14
Diamond Platnums.
Kwa kipindi kirefu kidogo toka
mwaka 2012 kumekua na taarifa
mbalimbali zinazopita kwenye
magazeti, blogs na midomoni
mwa watu kadhaa kwamba staa
wa muziki wa bongofleva
anaetajwa kulipwa pesa kubwa
kwenye kufanya show Tanzania
Diamond Platnums ameshuka
kiwango, yani mwisho wake
kwenye muziki umefika.
Baada ya hizo taarifa nimekua
nikijaribu kufanya interview na
Diamond lakini hakupenda
kuliongelea hilo kwa wakati huo.
Diamond amebadili huo
msimamo na kuamua kufunguka
rasmi kwenye Exclusive
interview na millardayo.com
kuhusu yote yanayosemwa
kwamba kashuka kiwango.
Namkariri akisema unapofanya
vizuri hakuna anaependa, kama
Maisha Club wasanii wengi huwa
wanafanya show lakini nikifanya
mimi ndio panatapika hata club
nyingi hata nilivyofanya show
Dar Live uliona watu kutaka
kutia virusi, kutaka
kutengenezea mazingira
Mashabiki ndio wanatakiwa
kusema flani labda sasa hivi
ameshuka lakini mashabiki hao
ndio hao kila siku wanazidi
kununua kazi zangu, wanazidi
kuomba nyimbo zangu kwenye
redio.. kiukweli nyimbo zangu
ndio zinaombwa sana kwenye
radio, katika show zangu
wanajaa sana Diamond
Kwenye sentensi nyingine
Diamond amesema kuna gazeti
likaandika Diamond sijui ndio
mwaka wake wa mwisho,
Diamond sijui ameshuka
kiwango utaweza vipi kuandika
vitu kama hivyo? mi ndio msanii
ambae nalipwa pesa nyingi
kuliko msanii mwingine yoyote
Tanzania, vita za kibiashara
kokote zipo mimi ndio maana
hazinishtui kila siku ndio maana
nazidi kuachia ngoma tu
kuwakata vilimi vilimi,
wanatakiwa wajue kabisa
kwamba mimi nimeaga
nyumbani licha ya kuaga mi
nafanya muziki kama kazi kwa
njaa kabisa, kwa hiyo mwenyezi
Mungu alienipandisha na
mashabiki zangu ndio wanaweza
wakataka kunishusha
MillardAyo in News
14
Diamond Platnums.
Kwa kipindi kirefu kidogo toka
mwaka 2012 kumekua na taarifa
mbalimbali zinazopita kwenye
magazeti, blogs na midomoni
mwa watu kadhaa kwamba staa
wa muziki wa bongofleva
anaetajwa kulipwa pesa kubwa
kwenye kufanya show Tanzania
Diamond Platnums ameshuka
kiwango, yani mwisho wake
kwenye muziki umefika.
Baada ya hizo taarifa nimekua
nikijaribu kufanya interview na
Diamond lakini hakupenda
kuliongelea hilo kwa wakati huo.
Diamond amebadili huo
msimamo na kuamua kufunguka
rasmi kwenye Exclusive
interview na millardayo.com
kuhusu yote yanayosemwa
kwamba kashuka kiwango.
Namkariri akisema unapofanya
vizuri hakuna anaependa, kama
Maisha Club wasanii wengi huwa
wanafanya show lakini nikifanya
mimi ndio panatapika hata club
nyingi hata nilivyofanya show
Dar Live uliona watu kutaka
kutia virusi, kutaka
kutengenezea mazingira
Mashabiki ndio wanatakiwa
kusema flani labda sasa hivi
ameshuka lakini mashabiki hao
ndio hao kila siku wanazidi
kununua kazi zangu, wanazidi
kuomba nyimbo zangu kwenye
redio.. kiukweli nyimbo zangu
ndio zinaombwa sana kwenye
radio, katika show zangu
wanajaa sana Diamond
Kwenye sentensi nyingine
Diamond amesema kuna gazeti
likaandika Diamond sijui ndio
mwaka wake wa mwisho,
Diamond sijui ameshuka
kiwango utaweza vipi kuandika
vitu kama hivyo? mi ndio msanii
ambae nalipwa pesa nyingi
kuliko msanii mwingine yoyote
Tanzania, vita za kibiashara
kokote zipo mimi ndio maana
hazinishtui kila siku ndio maana
nazidi kuachia ngoma tu
kuwakata vilimi vilimi,
wanatakiwa wajue kabisa
kwamba mimi nimeaga
nyumbani licha ya kuaga mi
nafanya muziki kama kazi kwa
njaa kabisa, kwa hiyo mwenyezi
Mungu alienipandisha na
mashabiki zangu ndio wanaweza
wakataka kunishusha