Haya ni maoni yangu kuhusu stage performance ya Zuchu

Haya ni maoni yangu kuhusu stage performance ya Zuchu

IslamTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
309
Reaction score
182
Jana nimengalia show ya Zuchu na nina maoni yafuatayo:

Kwanza, nashauri 'stage show' wake wanapaswa kuwa wanaume kwa sababu aina ya nyimbo zake. Nyimbo za Zuchu ni za mapenzi na iteleta maana akiwa na boy wa kushow ‘stage love’ naye. Au kama vipi at least mix – two boys and two girls, lakini ikibidi kama show ya mbali na anahitajika mtu mmoja ni bora achukue boy mmoja mzuri sana. Ile dance video ya cheche na yule jamaa. That's how show ya Zuchu yapaswa kuwa. Faida ya ziada ya kuwa na stage show ambao ni boys, attention yote jukwani will be ON YOU. Anakuwa the only flower on the stage.

Pili, katika mpangilio wa nyimbo, mfanye kazi zaidi. Ni bora, kuanza na nyimbo slow, na kumalizia zilizochangamka. Njia nyingine ni kutengeneza theme yaani story kutoka nyimbo moja hadi nyingine. Mfano: Raha … (then yaanza maudhi) kwaru … nisamehe ….hasara …..(then laja penzi jipya) … nobody…hakuna kulala….cheche …na kadhalika. Hii itamhitaji awe good story teller.

Tatu, hiyo carantine kama anaipenda but aomba utengeneze a remix. Add at least one more verse uitumie.

Nne, Going forward, kama anataka show za kuamshaamsha kama her male counter part, aongeze katika catalogue yake nyimbo za club …bangers . Zile watu watavibe na kuruka.

Aina ya nyimbo alizonazo sasa nyingi ni tamu kuzisikiliza na kumuangalia anavyoziperform, jambo ambalo pia si baya. Give audience a different taste altogether without boring them. Cheche official dance ikiperfomiwa stejini?

Tano na mwisho. Apunguze "Sisikiiiiiii". They are your clients. Wamekuja kumuwatch her sing and dance forthem, NOT VISE VERSA. Tena zaidi apunguze katika show za corporate. Huko kama tutamsamehe.
 
Zuchu kwenye stage anapwaya Sana.. anyway tumpe muda..
 
Nadhani itakuwa kesha soma maoni yako mkuu
 
Guushauri flani gwa kibabe na kimuziki....ila sijui Kama atagupata
 
Nyinyi wajumbe wa Rorya sio watu kabisa, yaani mpaka leo bado sijaelewa kwanini mtoto wa Mwalimu Nyerere mmempa kura moja. Yaani mtoto wa Mwalimu kabisaa? Kura moja?
 
nyuzi za zuchu huku JF zimezidi aise..aina ya mziki wa zuchu huko tulishatokaga tunataka aina nyingine kama ya vanesa mdee
 
nyuzi za zuchu huku JF zimezidi aise..aina ya mziki wa zuchu huko tulishatokaga tunataka aina nyingine kama ya vanesa mdee
Kweli bado hatujapata wa kuziba gap la Vee Money kuanzia stage perfomance mpaka aina ya uimbaji. Zuchu anapata tabu kuimba tena kwa playback sasa sijui kama live hajazimia
 
Kweli bado hatujapata wa kuziba gap la Vee Money kuanzia stage perfomance mpaka aina ya uimbaji. Zuchu anapata tabu kuimba tena kwa playback sasa sijui kama live hajazimia
ndo tushazoea wabongo kupeana sifa za ajabu wakati hakuna atae weza kufunika pengo la vee money kabisa kabisa kwa wanawake
 
Back
Top Bottom