Haya ni matukio makubwa ya kisoka mwaka 2023

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ikiwa tunahesabi siku Ili kuukamilisha mwaka 2023 Leo turejelee matukio makubwa yaliwahi kutokea kwenye ulimwengu wa futbol hapa mjini Tanzania

1. Yanga 5 ...1 Simba, hapa ilikuwa tar 5/11 mwaka 2023 pale makolo walilamba nyasi za mkapa Kwa kichapo kikubwa kuwahi kutokea ndani ya miaka 10 kwenye dabi ....
Pia kichapo hiki Simba alipata kipindi yupo kwenye peak kubwa ya ubora[emoji23]

2. Yanga 5....0 KMC hiki ni kichapo walichokopata KMC wakiwa full mkoko ( waziri junior) mbabe wa Simba[emoji23] akiwemo ndani lakini hakuweza furukuta kwenye ukuta wa babeli

3 Azam 5.....0 mtibwa hapa Azam wakiwa na wachezaji wao wakali kina kipre junior.....akaminko ...na fei toto walishusha mvua ya magoli Kwa walima miwa wa morogoro

Ni haya tu Kwa leo .....Je nitukio Gani la kisoka unalikumbuka mwaka huu??
 
Hiyo ya Yanga 5-0 Simba hii mechi itakuwa ilichezeka Pluto si tukaletewa tu matokeo
 
Real madrid kufungwa 4 moja na Man city pale Etihad ilikua pigo kubwa kwangu kwa mwaka huu ila Tukio kubwa kuliko yote Man city kubeba vikombe vyote vikubwa kwa mwaka huu bila kusahau Haland kunyimwa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia
 
Real madrid kufungwa 4 moja na Man city pale Etihad ilikua pigo kubwa kwangu kwa mwaka huu ila Tukio kubwa kuliko yote Man city kubeba vikombe vyote vikubwa kwa mwaka huu bila kusahau Haland kunyimwa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia
[emoji106][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…