haya ni mawazo tu tena yangu tu

haya ni mawazo tu tena yangu tu

muislamsafi

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
78
Reaction score
20
Siku ya kwanza nilipo sikia serikali tatu ndani ya rasimu hii ya katiba, nilijiuliza juu ya uongozi wa serikali hizi tatu, (yaani maraisi watatu makamu wa raisi mawaziri wa kuu nk). Lakini pia nikajipa matumaini labda uongozi hauta kuwa kama nifikiriavyo mimi labda tutakuwa naraisi wa muungano na wakuu wa tanganyika na zanzibari wakawa ama mawziri wakuu ama makamo wa raisi, na mipangilio ya jinsi hiyo kwa kadiri inavyo wezekana ilimradi iwapunguzie wananchi masikini wa zanzibar na tanganyika umasikini uliokithiri.kutokubebeshwa mzigo mkubwa wa kulipa gharama za viongozi hao wa juu kabla na baada ya kustaafu

lakini nikafikiri juu ya mambo yaliyo wekwa kama mambo ya muungano nimambo saba tu, dhidi ya mambo mengi tu amboyo tulikuwa tuna shirikiana . Sasa mawazo yangu kama muungano ukivunjika zanzibar watachukua vilivyo vya zanzibar na tanganyika watachukua vilivyo vya tanganyika na vya muungano vita gawanywa kamataratibu za kisheria zinavyo taka

kitu kibaya ni kuwa hakuna tanganyika kwamaana yakuwa hakuna serikali itakayo kuwa ikisimamia vya tanganyika kwa hiyo kisheria zanzibar itachukuwa vya zanzibar na vilivyo bakia vyote ni vya muungano kwa hiyo vitagawanywa kwa pande mbili za muungano kama sheria itakavyo elekeza

kwa sababu hii kwa hatua hii ya kutupatia serikali ya tanganyika sasa tunaweza kuchunga vilivyo vyetu na watanganyika wakafaidi vyatanganyka sasa na wakati muungano utakapo vunjika

na hisi serikali tatu ni hatua muhimu na makini sana ya kuelekea kuvunja muungano kwa hili nastahili kumpongeza warioba na tume yake, kwani na wao kwa moni walio yapata zanzibar yalikuwa yanatosha kabisa kuwataarifu kuwa zanzibar hawautaki muungano, ila kama waki force kuuvunja kuna haki za kisheria watazikosa. Ndio maana watatukorofisha mpaka tufikie kuuvunja muungano ili na wao wapeleke kesi ya madai ya zanzibar kunako husika na tanganika ilazimishwe kuilipa zanzibar vilivyo vya muungano

kwa sababu hiyo nilazima tuwe makini sana wakati huu tukiwa tuna elekea kuuvunja muungano

haya ni maoni yangu tu inaweza kuwa hayana ukweli wowote lakini nadhani ni muhimu na wengine wakajua ninacho fikiri ili wasishangae nitakayo tendaSiku ya kwanza nilipo sikia serikali tatu ndani ya rasimu hii ya katiba, nilijiuliza juu ya uongozi wa serikali hizi tatu, (yaani maraisi watatu makamu wa raisi mawaziri wa kuu nk). Lakini pia nikajipa matumaini labda uongozi hauta kuwa kama nifikiriavyo mimi labda tutakuwa naraisi wa muungano na wakuu wa tanganyika na zanzibari wakawa ama mawziri wakuu ama makamo wa raisi, na mipangilio ya jinsi hiyo kwa kadiri inavyo wezekana ilimradi iwapunguzie wananchi masikini wa zanzibar na tanganyika umasikini uliokithiri.kutokubebeshwa mzigo mkubwa wa kulipa gharama za viongozi hao wa juu kabla na baada ya kustaafu

lakini nikafikiri juu ya mambo yaliyo wekwa kama mambo ya muungano nimambo saba tu, dhidi ya mambo mengi tu amboyo tulikuwa tuna shirikiana . Sasa mawazo yangu kama muungano ukivunjika zanzibar watachukua vilivyo vya zanzibar na tanganyika watachukua vilivyo vya tanganyika na vya muungano vita gawanywa kamataratibu za kisheria zinavyo taka

kitu kibaya ni kuwa hakuna tanganyika kwamaana yakuwa hakuna serikali itakayo kuwa ikisimamia vya tanganyika kwa hiyo kisheria zanzibar itachukuwa vya zanzibar na vilivyo bakia vyote ni vya muungano kwa hiyo vitagawanywa kwa pande mbili za muungano kama sheria itakavyo elekeza

kwa sababu hii kwa hatua hii ya kutupatia serikali ya tanganyika sasa tunaweza kuchunga vilivyo vyetu na watanganyika wakafaidi vyatanganyka sasa na wakati muungano utakapo vunjika

na hisi serikali tatu ni hatua muhimu na makini sana ya kuelekea kuvunja muungano kwa hili nastahili kumpongeza warioba na tume yake, kwani na wao kwa moni walio yapata zanzibar yalikuwa yanatosha kabisa kuwataarifu kuwa zanzibar hawautaki muungano, ila kama waki force kuuvunja kuna haki za kisheria watazikosa. Ndio maana watatukorofisha mpaka tufikie kuuvunja muungano ili na wao wapeleke kesi ya madai ya zanzibar kunako husika na tanganika ilazimishwe kuilipa zanzibar vilivyo vya muungano

kwa sababu hiyo nilazima tuwe makini sana wakati huu tukiwa tuna elekea kuuvunja muungano

haya ni maoni yangu tu inaweza kuwa hayana ukweli wowote lakini nadhani ni muhimu na wengine wakajua ninacho fikiri ili wasishangae nitakayo tenda.
 
Hivi kuna sheria ya kugawana vitu endapo muungano utavunjika? Naamini Nyerere asingeruhusu itungwe...
 
[Hivi kuna sheria ya kugawana vitu endapo muungano utavunjika? Naamini Nyerere asingeruhusu itungwe]

hata mume ma mke wakitengana wanagawana walivyo chuma pamoja. iweje sisi tuvunje muungana kisha tubakie na mali tuliochuma pamoja labda kama wa zanzibar watakuwa marehemu
 
NA HISI SERIKALI TATU NI HATUA MUHIMU NA MAKINI SANA YA KUELEKEA KUVUNJA MUUNGANO KWA HILI NASTAHILI KUMPONGEZA WARIOBA NA TUME YAKE
Ndio maana waliotangulia walikuwa wanalipinga suala la serikali tatu. Kila wazanzibar walipokuwa wakiulizia serikali tatu walikuwa wanaambia hiyo haiwezekani labda tujadili serikali moja, wanatulia wanaona wasije wakaikosa hata hiyo SMZ.
Kwenye serikali tatu rais wa muungano ajiandae kuachia ngazi siku yoyote mambo yakichacha, atajikuna hana pa kutawala.
 
Back
Top Bottom