Haya ni mazoezi tu nyomi yakutosha,naiona record ya Congo ikivunjwa

Utaweweseka sana
Mimi na weweseka ama wewe ndiyo unweweseka, Yanga inacheza leo huiongelei ila Simba ina cheza keshokutwa, mchezo wa Kimataifa ajabu Yanga mnawashwa washwa.

Mnawashwa nini, na mech za Simba badala ya kuhamasisheni, mwende kiwanjani, mkashangilie kitimu chenu, kipate vijisenti nyie kwenye mitandao, mnaitangaza Simba tu, kocho anaiongelea Simba, mnakiua kitimu kile.

Siwezi kuchangia hela yanga inaweza ikawa ndogo, siku kama hizi hamasishaneni kuujaza uwanja hata timu icheze wapi, kama wenzenu Simba wanafofanya ukienda inst, Simba huhamasishana kuipenda Kilabu yao.

Tofauti yake nyie mnaona mnapambana nao kwa kuiandika Simba mara nyingi, kumbe ndiyo mnaamumsha mapenzi kwa mashabiki wa Simba, haya nyie Sio mbumbu wala Wapumbavu basi acheni Ujinga maana mu wajinga.

Ujinga sio tusi bali ni kuto kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu andaa siredi tu duuu
 
Karibu sana neshino stadiamu
 
Hivi kuna mbumbumbu anaamini Mikia watatoka na goli pungufu ya 3? Mikia hawahawa waliolowekwa hamsa kule Congo watoke na nguo huko Alexandria?
Kuota kunaruhusiwa ila usijisaidie haja ndogo na kubwa aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mpo nje sisi huku mpetupa fursa ya kubet over 4.5 odds 2.12
 
Ndugu zangu jiandaeni tu kisaikologia,maana mnaweza bebeshwa lumbesa la magoli


Kweli nimeamini ukiwa shabiki wa yanga ukizeeka lazma uwe mchawi,haiwezekani kijana kama wewe baada ,yakufata mambo yako unahangaika Na club ya Simba wewe inakuhusu nini


Mimi kama shabiki ninae jitambua huwa sitetemeshwi Na mbwembwe za waarabu kufunga au kufungwa yote ni matokeo ya mpira
 
Sawa,Hamsa itapendeza
 

Muhamad Elmansi

Published on Oct 19, 2015

Ni video iliyowekwa mwaka 2015. Kwa hiyo inaweza kuwa ni ya 2015 au nyuma zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…