tatizo watu tunalambishwa sumu ambayo hatuijui na tunakubali huo mtazamo umepitwa wakati ni muda muafaka wa kufanya mapinduzi ya kifikra,tabia ya mtu si ya jamii nzima au kundi zima hiyo ni ya kwake:A S embarassed:Kwanini watu wanaamini kuwa kuna baadhi ya makabila ukioa au kuolewa nayo ni taabu tupu. Mfano watu wengi wanaamini ukiolewa na mkurya au ukioa mkurya kipigo kwao huwa ni chakufikia yaani ni kama ishara ya upendo kwahiyo bila kumpiga au kupiga bado upendo haujaonekana. Pia wapo watu wanaamini kuwa ukioa mwanamke mpare, mnyiramba, mhaya na mmasai daima utambue hautakuwa pekeyako lazima kutakuwa na wapembeni kama mia hivi na ukijua hutakiwi kushangaa maana ndo desturi yao.
Kwanini watu wanaamini kuwa kuna baadhi ya makabila ukioa au kuolewa nayo ni taabu tupu. Mfano watu wengi wanaamini ukiolewa na mkurya au ukioa mkurya kipigo kwao huwa ni chakufikia yaani ni kama ishara ya upendo kwahiyo bila kumpiga au kupiga bado upendo haujaonekana. Pia wapo watu wanaamini kuwa ukioa mwanamke mpare, mnyiramba, mhaya na mmasai daima utambue hautakuwa pekeyako lazima kutakuwa na wapembeni kama mia hivi na ukijua hutakiwi kushangaa maana ndo desturi yao.