Haya Prof Shivji wadanganye tena CCM waikatae Katiba yetu!

gufombo

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
28
Reaction score
7
Wadau mtakumbuka baada ya rasimu ya katiba kuwasilishwa kwa Mkulu, mmoja wa wapinzani
wa kkatiba hii alikuwa ni Prof Shivji ambaye ni muumini wa muundo wa sasa wa Muungano.
Binafsi nangojea nione huyu prof atakuja na hoja gani na kwa mtindo upi ili kutetea msimamo wake
ambao nadhani pia CCM walikopi na kupesti wakiamini watashinda kwa hoja kwa kutumia hoja zake-rejea
uchambuzi dhaifu wa Kigwangallah ambao kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni marejeo ya kile ambacho Prof Shivji alikwisha kielezea.

Binafsi hapa nangoje tu nione huyu Prof atawadanganyaje tena magamba ili waendelee kuamini kuwa wanaungwa mkono kwa mambo ambayo tayari watanzania hawayahitaji ktk uendeshaji wa nchi ya Tanganyika na Zanziba.

Tunakusubiri sana Prof Shivji!
 
Inaweza ni mmoja kati ya wale waliokuwa waendeshe semina kwa wabunge. Ikiwa ni hivyo huyu ni wa kukataliwa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…