Unadhani ndoa m@t@k@ kila mtu anayo? 🙄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeebado unataka kuongeza mke?
Hivi Mobeto ni staa wa nini wakuu..?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku mke wangu akifanya huu ujinga namtungua na kombora la S-400 la kutungulia ndege...
Yupoyupo tu mjini..alianzaga east Africa tv ktk Friday nyt alikuwa anakatakata viuno kule miaka ya 2012/2013-Hivi Mobeto ni staa wa nini wakuu..?!!
Halaf mwenyewe anaona sifa maskinBinti anazaa ovyo bila ndoa, mpaka akifika umri wa uzee atakuwa na kundi kubwa la watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimshikia mguuMange ana details zote za mimba hii na yeye ndiye anaemfahamu biological father. Sijiu alifanya lini DNA test.
hahaha, i bet she is not even above 25 or she is barely 24, lakini ana watoto wawili kwa wanaume tofauti ambao sidhani kama watamuoa.
Are you male or female?I wish domo ndo awe baba mtt lile libibi zari silipendi basi, sema sina undugu wwt na domo....angekuwa ndugu yng ningefanya kila liwezekanalo aliache.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo nyuma ya kamera kunakuwa na watu kibao unawaonyesha tu tumatako twako....