Haya sasa kazi kwenu wazee fashoni

Haya sasa kazi kwenu wazee fashoni

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Wale wadada watanashati wapenda fashoni ambao kila fashoni ikitoka hawataki iwakose, hii hapa imetoka kwa ajili yenu.

cc
Numbisa
Cassie
 
Habari wanajamvi?
Wale wadada watanashati wapenda fashoni ambao kila fashoni ikitoka hawataki iwakose, hii hapa imetoka kwa ajili yenu.

cc
Numbisa
Cassie

20190216_123848.png

Hapo je.
 
Hawa ndio huwa siwaelewi,hivi ukivaa tight ndefu mpaka magotini hauchezi hicho kitenesi???

Mpaka kuachaga matako nje yanacheza cheza[emoji35][emoji35]
Kuacha matako nje pia ni miongoni mwa michezo yao
Mi hua napenda sana kuangalia netball pamoja na hio tennis ya kina Serena na Maria Sharapova

Maendeleo hayana chama
 
Sijui ni macho yangu? naona kama socket ya kuchomekea chaja iko nje au?
 
Back
Top Bottom