Hakuna mdada mtanashati duniani.Habari wanajamvi?
Wale wadada watanashati wapenda fashoni ambao kila fashoni ikitoka hawataki iwakose, hii hapa imetoka kwa ajili yenu.
cc
Numbisa
Cassie
Habari wanajamvi?
Wale wadada watanashati wapenda fashoni ambao kila fashoni ikitoka hawataki iwakose, hii hapa imetoka kwa ajili yenu.
cc
Numbisa
Cassie
Unataka jipiga selfieDaah aisee,,hii picha nna kaz nayo Leo usiku
Kuacha matako nje pia ni miongoni mwa michezo yaoHawa ndio huwa siwaelewi,hivi ukivaa tight ndefu mpaka magotini hauchezi hicho kitenesi???
Mpaka kuachaga matako nje yanacheza cheza[emoji35][emoji35]
Dah kweli huwezi pata vyote,.sura kavu kama anakula saruji.