Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Kwanini hamjiamnini kuweka uchaguzi huru na wa haki? Mnaogopa nini wakati mnapendwa Tanzania nzima?
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
Hivi kwanini msingeamua tu kuacha huu uchaguzi wa Serikali za mitaa kujipima jinsi gani mnakubalika na wananchi. Huu uchaguzi hauna athari zozote kwenu, mngeufanya uwe huru na haki ili mjue jinsi gani mtatembea na uchaguzi wa mwakani. Lakini ndo hivyo, mzoea vya kunyonga vya halali hawezi, endeleeni kuuwa Nchi huku mnajisifia, faida zake mtakuja kuziona.
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
Unalipwa mara mbili buku saba na shift ya usiku?
 
Watanzania wangempenda Magufuli angeheshimu box la kura, lakini kwakuwa ukweli ni tofauti na hii sala unayoendesha hapa ndio maana ananajisi box la kura.
Mbaazi ikikosa maua ....
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
1.Yeye vyeti vyake halali? 2.Yeye sio fisadi hajauza nyumba za serikali mpaka hawara na mdogo mtu. 3Wauza madawa mnashindwa nini kuwakamata au wanawapa rushwa? 5. Mnashindwa nini kukusanya ushahidi na kuwapeleka mahakamani? 6. Jiwe anafanya nini ujasilia siasa?
 
Lisu alisha olewa ulaya siasa imebaki story

State agent
 
Huyo usiyetaka azungumwe ni factor kubwa ktk kila linalo fanyika ndani ya mipaka ya nchi hii.
 
Magufuli ni mpango wa Mungu.

Wewe unayempinga ndo wale wale wauza madawa ya kulevya, wapiga deals, wenye vyeti feki, waliotumbuliwa n.k

S
H
I
N
D
W
A

Mbafu wewe
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Watu kama huyu ni mfano wa Yuda iskarioti aliye muuza mpaka Yesu ili tumbo lishibe,
Mwisho wao huwa ni kujinyonga, hawaendi mbali
 
Bahati mbaya hii sio Zaire na Rais Magufuli sio Mobutu. Hii ni Tanzania. Na watu wako huru kuchagua na kukosoa.
 
Kwahiyo kifupi unataka kuniambia kipindi cha jakaya wapinzani walikuwa wanajua kujaza fomu vizuri ndo maana hawakuenguliwa ila kipindi hichi wapinzani wamesahau namna yakujaza fomu sio?
 
Ccm hata ingetimiza ahadi zake asilimia 100 haitakaa iamini Watz
 
Masaa 17 yamepita komenti yako haina like hata moja!! Msitue shem aje alike
 
Dada kama una jambo moyoni la kusema ila umelimezea
 
Nahesabu comment za misukule mpaka sasa nimeshaipata moja hapo juu #2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…