Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Hiyo ni dhana yako. Kipindi cha kilimo huo hakuna sherehe lakini wakati wa mavuno ndiyo wakati wake hasa.
 
Magufuli ni mpango wa Mungu.

Wewe unayempinga ndo wale wale wauza madawa ya kulevya, wapiga deals, wenye vyeti feki, waliotumbuliwa n.k

S
H
I
N
D
W
A

Mbafu wewe
Yeye na mwanae Bashite wana vyeti halali?
 
Takataka tu hii
 
Haya
Naona Mmeanza Kuleta Moshi Hapa
Hii Ni Kazi Ya Ruangwa!!!!😁😀
 
Baada ya magufuli sijui km ccm itarudi magogoni nadhani ni chadema itakuchua kijiti
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
sawa jumalokole ......wasalmie hapo lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…