Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sababu walioitoa BOT ni kuwa 500 ya noti ambayo inatengenezwa na pamba huchakaa kwa haraka sana Ndio maana wanaleta sarafu sasa.

Unajua watu hawatambui kua value ya currency haipunguzi uzito wa maisha magumu... Sarafu yetu haina tofauti sana na WON ya south korea, lakini ile ni moja ya nchi tajiri duniani... au Japan ambaye anashindwa value hata na Kenya basi angekua pazuri mno... i think we have more things to care about na sio kukaa tunalilia currency daily
tusubiri tu...Thamani ya pesa tanzania inazidi kuporomoka sii muda mrefubBOT watatoa sarafu ya sh 10000
value ya currency ndio tatizo kubwa kwenye uchumi, hususani inaposhuka kwa kasi kubwa ukilinganisha na fedha za wenzetu (ukiondoa mara chache wachumi wanaposhusha kuvutia soko).
Aliyetoa wazo hili ni nani?
Kumbe inawezekana watu wanajadili uchumi wa nchi huku wakiwa bar wanavuta balimi na kunywa sigara!
mifuko itakuwa mizito balaa, noti zinapungua kwenye wallet tunabebeshwa mavyuma kilazima.
Ukiwa na hizo 10 si sawa na muuza chenji??
Ulimwengu wa noti huu sio hayo mabati.