9inone JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 774 Reaction score 319 May 12, 2018 #1 Haijalishi leo kuna mvua kiasi gani ni muhimu kutangaza ubingwa haswa na msikasirike jamani ndo mchezo wenyewe huo. Ya kimataifa kialali sasa inasepa hata pembe hamjaiona lo!
Haijalishi leo kuna mvua kiasi gani ni muhimu kutangaza ubingwa haswa na msikasirike jamani ndo mchezo wenyewe huo. Ya kimataifa kialali sasa inasepa hata pembe hamjaiona lo!