Beatrice Kingsley
Senior Member
- Aug 20, 2018
- 102
- 104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sa Ngumi za nini hapo? Na mimi nakuita kukuomba msaada!
[emoji23] [emoji23] akili yako nzur sananingegeuka kuwa spider man au super man ningepaa zangu fresh nawahi nyumbani
Hiyo ni tano sio ngumi kuauelewasa Ngumi za nini hapo? Na mimi nakuita kukuomba msaada!
Kabisa yan utaimba tenzi za rohon Kwanzia wimbo wa kwanza paka wamwisho hatakama ujawai kuimba[emoji23][emoji23][emoji23]Huo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa
Na hapo ukumbuke beti na mistar vinachanganywa wimbo uleee unaleta huu mara kulee basi tuuKabisa yan utaimba tenzi za rohon Kwanzia wimbo wa kwanza paka wamwisho hatakama ujawai kuimba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa
Mkuu unaonekana muimbaji mzuri sana wa gospelHuo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa
Kwakwel mkuu, nko vzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji31][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa
Kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hapo ukumbuke beti na mistar vinachanganywa wimbo uleee unaleta huu mara kulee basi tuu
Ili mradi upate huruma ya mbingu..alafu mwisho unaishiaa
Chakutumaaaaaaaaaini sinaaaaaaaa
Naendeeeeeeea msalabaaaaaa
Nimnyooooonge kipooooooofuuu[emoji23][emoji23][emoji23]