Huyo uliye kutana naye naona ame escape, haonekani.Ili kutunza kumbukumbu zetu vizuri kwa manufaa ya vizazi vijavyo nashauri tuwakusanye wahenga wetu wote hapa. mimi leo nimekutana na mhenga huyu maeneo ya kimboka buguruni...
Hahaha tamaa mbaya mkuu"Vitamu vinaua" Hadi leo naogopa vitamu. Sijui wahenga walikosea ilikuwa kinyume chake??