haya sasa wale wa tcu!!!

Status
Not open for further replies.

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,357
Reaction score
3,835
jkt ndo hivyo imetangaza awamu nne kama ulivyoona jana TBC na LUKUVI ambapo itachukua had february na baadhi ya vyuo vimetoa orientation week inaanza octoba kama UDOM na kuna baadhi ya majina yaliyotolewa na airtell yamekataliwa!!!!!!!!!!
 
Hili jukwaa ili usionekane ZEZETA weka source ya chochote utakachopost humu ndani!kuna mtu amethibitisha airtel ipo long?
 
Jkt ndo hivyo imetangaza awamu nne inayochukua hadi february,baadhi ya vyuo wametangaza orientation work kuanza octoba na airtell wanasema wametoa wrong selection hapo ndo patamu!!!!!!!!!

utamu kivip sasa...? hili jambo lakusikitsha wewe unasema utamu wewe mzima kweli...?
 
kapime akili wewe! maana huo uchizi wako ukiuachia for more than 2 weeks itakuwa balaa
 
Jkt ndo hivyo imetangaza awamu nne inayochukua hadi february,baadhi ya vyuo wametangaza orientation work kuanza octoba na airtell wanasema wametoa wrong selection hapo ndo patamu!!!!!!!!!

Umekurupuka eh, eti Airtel wametoa wrong selection.Wangapi waliona kupitia airtel na selection zmetoka za vyuo na wamekuta ni ukweli.
Huko jkt ataenda wazr na m..ke wake, yeye octob mk..e wa.ke january.
Mwiter!!!
 
:tape: :help: jikubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…