ajili ibrahim Member Joined Aug 19, 2013 Posts 73 Reaction score 3 Aug 28, 2013 #21 AIRTEL hawajatupeleka chaka wala nn ongeen vtu vyenye uhakika mm nimejiona kwenye airtel na vilevile nkajiona katka selection zilizotolewa na chuo nilicho apply achen uzushi bhana
AIRTEL hawajatupeleka chaka wala nn ongeen vtu vyenye uhakika mm nimejiona kwenye airtel na vilevile nkajiona katka selection zilizotolewa na chuo nilicho apply achen uzushi bhana
N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Aug 28, 2013 #22 Wewe dogo acha uongo huo,tcu iko poa 2,airtel ni wazushi@godfrey
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,357 Reaction score 3,835 Aug 28, 2013 Thread starter #23 Darius said: jamaa kakurupukaa mbona watu wamecheki through airtel na majina yametoka kitu kilekile Click to expand... kuna mambo ya kukurupuka lakini sio hapa na sikusema majina yote ila baadhi yao hebu tuelewane hapo!!!
Darius said: jamaa kakurupukaa mbona watu wamecheki through airtel na majina yametoka kitu kilekile Click to expand... kuna mambo ya kukurupuka lakini sio hapa na sikusema majina yote ila baadhi yao hebu tuelewane hapo!!!
D DENIS 72 Member Joined Jul 10, 2013 Posts 38 Reaction score 1 Aug 28, 2013 #24 na mwingine kathibitisha iko right which is which
Y Yesar JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 300 Reaction score 17 Aug 28, 2013 #25 na tigo wametoa zao
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Aug 28, 2013 #26 Huyu jamaa bila shaka amekosea njia,amefikiri hili ni jukwaa la UTANI/JOKES