Haya sasa wale walochaguliwa kifaru sec

Haya sasa wale walochaguliwa kifaru sec

No More Drama

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
95
Reaction score
19
Jamani kwa wale mlochaguliwa kifaru form v tuanze kujuana mapemaaaaaaa
uwanja ni wenuuu
 
kuna kipindi wanafunzi walikuwa wanakamata walimu tai,hiyo shule hovyo kabisa!
 
hebu acha ubish kijana kwani bomba zikiwekwa kila kona hadi chin ya mvungu alafu zisipotoa maji zitasaidia nn?

hahahaha tisha sana ah kuna sister jiran yangu na o level katoka shule na mi nlotoka alinielezaga jns huo mgomo ulvyokuwa ilkuwa ni mwaka jana mwez wa 5 wa 6 hivi ndo mana nkakujibu hvyo.upo hapo?
 
Jamani kwa wale mlochaguliwa kifaru form v tuanze kujuana mapemaaaaaaa
uwanja ni wenuuu

kifaru kuna miundombinu mizuri maktaba kubwa, hoslel nzur, ni fanced na ulinzi, ina mazingira mazuri,ni a.level na olevel,boys and girls,umeme na kwa wale wapenzi wa mpira kuna superspot dinning room

hahahaha hiyo ndo kifaru sec
 
umechugulia hapo au ipo mwanga,KLM,zamani naskia ilikuaga shule ya jeshi

hamna me nimeshagraduate a'level, nataka kujuaa tu ipo wap! Coz nilikuwa ckutanag na wanafnz ktka pnde hzo tukiwa kwa mwaramy(mwaramsha) au kwa pizzo na hta kwa mtegetwaaa! Vp ina comb zaid ya tatu?
 
hamna me nimeshagraduate a'level, nataka kujuaa tu ipo wap! Coz nilikuwa ckutanag na wanafnz ktka pnde hzo tukiwa kwa mwaramy(mwaramsha) au kwa pizzo na hta kwa mtegetwaaa! Vp ina comb zaid ya tatu?

inayo hge,hkl,hgl,egm,hgk cjui zingne
 
Hapo mzuka sana. Kila ninaemwambia nimechaguliwa hapo ananiambia ni skul nzuri

dogo nimepiga hapo skul la ukweli hilo umenikumbusha kwa wapenz wa mpira kuna supersport ya ticha hakuna kwenda kwenye kibanda umiza
hahahaha umenikumbusha ticha m1 hv alkuwaga anazima umeme kwenye menu switch ili watu wakalale lkn 2kamsanukiaga ikawa akizima tu tunaenda kuwasha tunaendelea kupiga msuli


hiyo ndo kifaru sec
 
Back
Top Bottom