No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
Na tatizo kubwa ni kitu Maji. Yani maji ni janga.
nshapata hyo update walishaandamana hda mkuu wa wilaya akaja kisa maji bomba zikawekwa kila kona.upo hapo?
hebu acha ubish kijana kwani bomba zikiwekwa kila kona hadi chin ya mvungu alafu zisipotoa maji zitasaidia nn?
Jamani kwa wale mlochaguliwa kifaru form v tuanze kujuana mapemaaaaaaa
uwanja ni wenuuu
ipo mkoa gan?
umechugulia hapo au ipo mwanga,KLM,zamani naskia ilikuaga shule ya jeshi
hamna me nimeshagraduate a'level, nataka kujuaa tu ipo wap! Coz nilikuwa ckutanag na wanafnz ktka pnde hzo tukiwa kwa mwaramy(mwaramsha) au kwa pizzo na hta kwa mtegetwaaa! Vp ina comb zaid ya tatu?
inayo hge,hkl,hgl,egm,hgk cjui zingne
poa mkuu! Ila wanafunzi wake wamepoaa sanaa, mbnaa hawaipromote
Tupoooooooooo
Hapo mzuka sana. Kila ninaemwambia nimechaguliwa hapo ananiambia ni skul nzuri